mpenzi wako wa zamani

mpenzi wako wa zamani

Jumanne Mwita

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2014
Posts
563
Reaction score
1,567
Hivi ushawahi kuona picha za ndoa za mpenzi wako wa zamani ukafurahi, maana ungeendelea kuwa nae ungekua bado unapiga na kuondoka! [emoji23][emoji23][emoji23]
IMG_20181207_222818.jpeg
 
Mkuu umewaza nn [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sasa kama ulikua unapita tu kwanini uchukie huyo ex wako kuoa/kuolewa?
 
Mm binafsi nafarijika! Maana rafiki yangu wa zamani atakuwa ametimiza ndoto yake,mimi wapenzi wangu wote ninaoachana nao huwa nawaombea ndoa ili wasipate/wasijutie kupitia mahusiano na Mimi then wakaja kulaumu kamba niliwaharibia,so wakishapata ndoa zao hata usubumbufu unapungua kama siyo Kwisha kabisa! Kwa hiyo mm nafurahia wakiolewa maana hiyo ni ndoto ya Kila mtu,labda Naweza kukwazika iwapo ataolewa yule ambaye nimeshafanya process mpaka za kutoa mahali!
 
Back
Top Bottom