KATIKA UISLAM

KATIKA UISLAM

RASCO BOY

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2018
Posts
428
Reaction score
485
Mwanamke Haruhusiwi kunyoa nywele zake isipokuwa pawe na jambo la kisheria la kufanya hivyo.

Hii hata hakizaliwa hapaswi kunyolewa nywele.

HAKIKA NYWELE ZA MWANAMKE NI PAMBO ZURI LINALO MPENDEZA.
...[emoji1614]
 
Hakuna cha imani hapo !!. Ni mfumo dume tu. Angalia poote penye imani kali, uone wanawake wa huko kama wanazo haki . Jiridhishe kwanza
 
Mwanamke Haruhusiwi kunyoa nywele zake isipokuwa pawe na jambo la kisheria la kufanya hivyo.

Hii hata hakizaliwa hapaswi kunyolewa nywele.

HAKIKA NYWELE ZA MWANAMKE NI PAMBO ZURI LINALO MPENDEZA.
...[emoji1614]
Ni vizuri kutokusema jambo ambalo huna elimu nalo

Uislamu hauko kama munavyouzania uislamu umempa hali sana mwanamke kuliko kitu chochote ila hamujui tuuu.

Hata hio mifumo ya haki za Binaadamu basi wanatumia uislamu ukifuafuatilia wanawake walivyokua enzi za ujahilia ama hapo zamani utaona kua uislamu umekuja kumkombo mwanamke na kumpa kila mmoja haki yake.

Rudia hafithi ya watoto wa Adamu waliharamishiwa kuowana mtu na mzaliwa wake kwa sabu ya kumpa heshima mwanamke

Kwa hio sio kweli kua UISLAMU unamkandamiza ama ni mfumo dume kwa wanawake
 
Sawa waendelea kutokunyoa tu.. haituhusu ni mambo yao na shider zao...!
 
Back
Top Bottom