Mwanamke akinipenda na kunithamini

Mwanamke akinipenda na kunithamini

Jumanne Mwita

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2014
Posts
563
Reaction score
1,567
wakati sina chochote huyu ndio ndio mwanamke anafaa kua wife achana na hizi Slay Queen ambazo zinasubiri utafute Then zikupende.

Na siku ukiwa huna utasikia kampende mama ako mzazi maana huyo atakupenda tu hata kama utakua huna chochote.
 
Mkuu unaniuzunisha ujue
Yani maisha haya acha tuu.
wakati sina chochote huyu ndio ndio mwanamke anafaa kua wife achana na hizi Slay Queen ambazo zinasubiri utafute Then zikupende.

Na siku ukiwa huna utasikia kampende mama ako mzazi maana huyo atakupenda tu hata kama utakua huna chochote.
 
isijekuwa ni kama harakati za Pimbi
 
Back
Top Bottom