Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari zenu ndugu! Ushauri wenu ni muhimu sana Kuna mkaka mmoja mstaarabu sana kwa muonekano wake na hata katika mazungumzo yake. Kaka huyu tunatoka nae sehemu moja, ameoa na ana watoto. Shughuli...
10 Reactions
103 Replies
12K Views
Natumaini Christmas na boxing day yenu imekwenda vyema wakuu. Tuvumiliane uandishi, somo la mwandiko sikuwahi kufaulu. Iko hivi, nina mchumba wangu tuko pamoja huu mwaka wa 3, tuko vizuri tu...
2 Reactions
59 Replies
5K Views
Habari wana JF, kuna dada fulani ananipenda sana. Nimekuwa nae kwenye mahusiano kwa miaka 2 sasa. Anataka tufunge ndoa ila mimi nimemweleza kuwa siwezi kufunga ndoa kabla sijajenga huwo ndio...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Nipo likizo mazee.... Nmeenda kuwaona wana maskani angalau nami nishtue kidogo maana sometime nikikaa bila kitu kunakuja mafeelings ya ajabu ajabu tu. Basi tumechoma issue yetu badaye tumekaa na...
2 Reactions
27 Replies
6K Views
Jamani kwa sababu za kutafuta rizki niko nje ya nchi. Huku nyuma nimemuacha kimwana kila siku huwa tunapigiana video calls mara 5 mpaka 10 kitu cha ajabu siku 2 kabla ya christmas akaanza kulalama...
4 Reactions
80 Replies
7K Views
Unatoa msaada kwa manzi kiroho safi tu, mwisho wa siku anakuchukulia kama danga. Acheni hizo mambo nyie wasichana.. Wanaume wastaarabu bado tupo. N:B Baadhi, sio wote.
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Habarini wakuu! Nimepatwa na matatizo makubwa maishani ambayo yalipelekea nichanganyikiwe akili miaka ya nyuma,ila baada ya kutumia madawa na ushauri wa kisaikolojia,akili yangu ilirudi vyema...
8 Reactions
204 Replies
27K Views
Wana jf halafu mliopo DAR, Nina card mbili kwaajili ya mwaliko Wa HARUSI yangu J2 hii. Nione nikupatie twende . Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
4 Replies
725 Views
Majina yetu huathiri haiba zetu kwa namna za ajabu kabisa... Unapomchagulia mtoto jina hakikisha unajua vema asili yake hasi na chanya zake na mustakabali wake... Kwani hujawahi kusikia mtu...
14 Reactions
86 Replies
7K Views
Nilikuwa naongea na jamaa yangu mmoja ambae ana kama miezi miwili ameowaaa alikuwa akiwaasa vijana flani hivi wanapopata mabinti wajitahidi sana kabla ya ndoa basi watest mitambo kwanza..... Nia...
7 Reactions
212 Replies
30K Views
Kuna askari mmoja ambaye ameshatangulia mbele ya haki, alibahatika kuoa mke wa kwanza na kufanikiwa kupata kadhaa, maisha yalivyokuwa yanaendelea alimuacha mke wa kwanza na kuoa mke mwingine...
5 Reactions
71 Replies
78K Views
Kijana Shabab kabisa. Unapaka poda, unalegeza sauti na kuongea kama mwanamke. Mwili unaulegeza kama mwanamke. Outing unakula soseji moja na nusu glasi ya juisi, halafu unajitia huwezi kumaliza...
9 Reactions
60 Replies
4K Views
Wazazi na wachungaji tunasumbuka bure...vijana wetu wala hawatuelewi. Jana ni siku ambayo vijana pote ulimwenguni walienda makanisani , pamoja na mambo mengine ujumbe mkuu ni kufurahia kuzaliwa...
6 Reactions
103 Replies
12K Views
Siku hizi kumekuwa na matangazo katika vyombo vya habari na hata mabango mtaani yamejaa ujumbe unaofanana. *Ujumbe unaojulisha umma kuwa kuna dawa za kurefusha na kunenepesha uume. Au Ujumbe...
9 Reactions
41 Replies
4K Views
Kuna uamuzi nimeufanya ila muafaka wake utafikia ntapopata ushauri wa wanajamiiwazoefu wa maisha ikiwemo members wa humu ndani. Mimi ni kijana mwenye miaka 26, naona ni wakati muafaka wa kufunga...
2 Reactions
120 Replies
13K Views
Wakati watu wajf wanasema wameolewa wameoa humu ila jf nope kweli mtanisamehe jf wapo watu ambao hawapo serious wako kwenye matani utoto napia wao hawajielewi wanatakaje . Wanapotezea muda mtu...
5 Reactions
214 Replies
13K Views
MWANAMKE UKIWA UNAFANYA MOJA KATI YA YAFUATAYO:- *CHUKUA MKONO WAKO WA KULIA JIPIGE PIGE KIFUANI, SEMA "MIMI NI MPUMBAVU!".* _1. Kuishi na mwanaume ambaye ajakutolea mahari au kukuoa. Hii...
11 Reactions
92 Replies
8K Views
KICHWA CHA HABARI CHA HUSIKA... WALE tuliowahi kuchongewa either na mdogo wako au kaka yako au mama au shangazi au yeyote katika familia ukala kipondo au kazini au shuleni mwisho wa siku kupata...
0 Reactions
1 Replies
974 Views
NAZUNGUMZIA ULEVI WA AINA YOYOTE...UWE NI ULEVI WA POMBE, ZINAA, DAWA ZA KULEVYA N.K. NI NGUMU KUMUONA MLEVI WA JAMBO FULANI AKIMSAIDIA MTU KATIKA JAMBO LA WEMA JINGINE...ISIPOKUWA UMOJA WAO NI...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Haipo
0 Reactions
0 Replies
652 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…