Tupo nyuma ya muda jamani hakuna salamu hapa..
Ndugu zangu wanaume tupeane uzoefu wa kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja..iwe kwenye ndoa au uchumba..
1 ni faida ipi ya kuwa na mwanamke zaidi ya...
Ili uweze kufikia malengo yako unahitaji watu sahihi mnaoweza kusaidiana na kubadilishana uzoefu wa kile mnachofanya ili kuweza kufikia malengo yenu; huu ni uzi kwa ajili ya kusema profile yako...
Mwanamke ambae hakulelewa na baba yake katika utoto wake, pindi atakapokuwa mtu mzima hupendelea kuwa na mwanaume (mwenza)ambae most of the time atakuwa akimuongoza katika Kila jambo regardless of...
Nimeolewa ninakama miez 3 hv
bt Sina amani kabisa na haya maisha ya kindoa nayoishi
Cjui nimejikatia tamaa tu yan sielew
Mimi na huyu mme wangu kanizidi miaka 2 tu, lkn mtu akituangalia naonekana...
Sehemu ya Kwanza
Wakati naingia ndani ya basi ilikua tayari imefika saa kumi na moja alfajiri, watu hawakua wengi sana ndani ya basi lile, nilitembea taratibu hadi kwenye siti yangu nikiwa...
Tawire wandugu,
Siku hizi kumeshamiri hizi biashara ndogo ndogo ambazo hususani hufanywa na wanawake kwa minajili mikubwa ya kupata mia mbili mia mbili nyakati za usiku kuanzia saa moja hadi saa...
Hakuna familia isiyo na mapungufu. Hatuna wazazi wasio na mapungufu, sisi pia si wakamilifu, hatuoi au kuolewa na mtu asiye na mapungufu, kadhalika watoto wetu nao si wakamilifu. Tunayo...
Kati ya matukio ambayo sitayasahau maishani mwangu ni tukio la kuoa mwanamke mchawi mkoani Tabora ktk kijijini cha Nkinga.
Mwanamke huyu mrembo ambaye tayari nina watoto naye ni mchawi hatari...
Massage Parlours Dar es SalaamFull Moon Massage.
Mariams Massage.
Anitas Massage.
Mayfair Shopping center Massage.
Shoppers Plaza Mikocheni Hair and Massage.
Beauty and massage Palour near...
Wameru ni moja ya makabila ambayo yanaongoza kwa ukarimu na utoaji hasa zawadi wakati mtoto wao anapoowa au anapoolewa
Yani wewe ukiowa mmeru unashauriwa usinunue chochote hata kijiko mana kwa...
Za usiku wana jukwaa hili pendwa
Niende moja kwa moja kwenye mada ,hivi karibuni nimekutana na binti flani nikaomba namba zake nikaanza kumtia mbepesi a.k.a vokali a.k.a kumtongoza
Bila hiyana...
Habari za siku wanajukwaa..
Kiukweli sijui ni matatizo au hali ya kawaida, siku zinavyozidi kwenda najikuta kuvutiwa sana na mabinti wa kiislamu hasa hawa wanaovaa hijabu.. sina sababu maalum...
Kuna hili suala ambalo nimeona sio vibaya tukiulizana kujua utashi wa kila atakayechangia tuone kipi watu wanapenda zaidi inapobidi kuchagua kimoja.
Ni ndoto ya kila mmoja kupata mwanamke...
Nina miezi michache na huyu manzi, ila kuna katabia kake nimekagundua.
Ikitokea nimevaa nguo ya juu na akaipenda anataka nimpe hiyo hiyo hataki nyingi.
Vipi wenzangu, ishawahi watoke hii au ndio...
Salam wana J,Forums
Naomba nsaidien wivu n nn??
Na je n kweli penye wivu ndipo penye mapenzi ya dhati??
Na pasipo na wivu hakuna mapenzi ya dhati??
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi ndugu zangu wanaume tunakwama wapi? Mbona tunafanya mambo ya ajabu sana ambayo baadaye yanatughalimu sana.
- Hivi unawezaje kuoa mwanamke mwenye watoto huku ukijua kabisa wewe kipato chako...