Hii ndio raha ya kuoa Meru

Incoming call

Member
Jan 5, 2019
24
7
Wameru ni moja ya makabila ambayo yanaongoza kwa ukarimu na utoaji hasa zawadi wakati mtoto wao anapoowa au anapoolewa

Yani wewe ukiowa mmeru unashauriwa usinunue chochote hata kijiko mana kwa hakika utapata kila furniture na chombo kinachoitajika ndani ya nyumba kuanzia sofa, kabati la nguo, vyombo, meza ya chakula meza ya kawaida, vyombo tv, na kila kitu unachohitaji ndani ya nyumba.

Yaani hili kabila ni shida,
Zawadi pia zinakuwa nyingi hasa wanapoowana wao kwa wao mana upande wa kijana huzawadi na wa msichana hivyo hivyo.

Hebu jionee hii

Je utamaduni huu unafaa kuigwa au umepitwa na wakati!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kama bwana harusi anaishi kwenye chumba huku kwetu Kwamtogole hizi zawadi zinawekwa wapi?
 
Wameru ni moja ya makabila ambayo yanaongoza kwa ukarimu na utoaji hasa zawadi wakati mtoto wao anapoowa au anapoolewa

Yani wewe ukiowa mmeru unashauriwa usinunue chochote hata kijiko mana kwa hakika utapata kila furniture na chombo kinachoitajika ndani ya nyumba kuanzia sofa, kabati la nguo, vyombo, meza ya chakula meza ya kawaida, vyombo tv, na kila kitu unachohitaji ndani ya nyumba.

Yaani hili kabila ni shida,
Zawadi pia zinakuwa nyingi hasa wanapoowana wao kwa wao mana upande wa kijana huzawadi na wa msichana hivyo hivyo.

Hebu jionee hii

Je utamaduni huu unafaa kuigwa au umepitwa na wakati!?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu oa hao watu kwa kufurahia zawadi k8sha uone maisha halisi na tabia zao za ukorofi na kutozaa na mwanaume mmoja tu kwa kuogopa laana au chungu. Huwajui ndo maana unasifia zawadi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila ndugu zangu wapunguze ukabila na udini
Pamoja na kukagua status za muoaji.
 
Una uhakika?
Nna hakika nani asowajua nyie bana. Nimezaliwa Meru nimekulia Meru hakuna nisolijua kuhusu mila na tamaduni zenu. Danganya wa kuja na zawadi za harusi. Kwanamke wa kimeru aolewe na mmeru ndo wataelewana. Otherwise hamna kitu! Mwanaume jiandae kuishi kwa uvumilivu tu na si upendo. Hutaki kufwaz!

Ulivyomaliziia hapo chini nimeelewa najadiliana na mtu wa aina gani.
 
Wameru ni moja ya makabila ambayo yanaongoza kwa ukarimu na utoaji hasa zawadi wakati mtoto wao anapoowa au anapoolewa

Yani wewe ukiowa mmeru unashauriwa usinunue chochote hata kijiko mana kwa hakika utapata kila furniture na chombo kinachoitajika ndani ya nyumba kuanzia sofa, kabati la nguo, vyombo, meza ya chakula meza ya kawaida, vyombo tv, na kila kitu unachohitaji ndani ya nyumba.

Yaani hili kabila ni shida,
Zawadi pia zinakuwa nyingi hasa wanapoowana wao kwa wao mana upande wa kijana huzawadi na wa msichana hivyo hivyo.

Hebu jionee hii

Je utamaduni huu unafaa kuigwa au umepitwa na wakati!?

Sent using Jamii Forums mobile app
Na siku wakikupasua uso uje uwasifie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaaa! Umekutana na mtu anayewajua vizuri majitu yenye roho mbaya. Unakuja kutangaza sifa ambazo hazipo huku.

Sent using Jamii Forums mobile app

Inawezekana unajua kila kitu

Nitapingana na wewe?

Niprove kwako nipate nini?
Waliooa na walioolewa ndio wanaojuana

Historia hiyo unayoijua wewe wahusika wenyewe hawaijui nibishane na wewe unaniongezea Mb!!

Mie naandika ninachokijua sio kubishana na much know wa mtandaoni
Wanaoandika kama wanawake wa Kiswahili.
 
Yaani ndo unazidi kudhihirisha tabia zako mwanamke wa kimeru. Tulia tu hakuna kupaniki hapa hasa ukiambiwa ukweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
meru ukiwa mwanaume wa dar jiandae kula makofi ya kutosha na kwenda kwenye dawati la jinsia ,,,
na ukweni wanakupa kiwanja kabisa ili ujenge huko(usikubali shauri yako!),,,
ila wanawake wa kimeru ni wachapa kazi kikweli,,
ni visu hatari
hili halina ubishi...
shida moja tu baadhi sio wote ukitajirika ,,wanakufyekelea mbali(r.i.p)..
pia kama we ni mkulima usilime meru especially migomba (hawa ni wataalamu wa kendo)..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom