natafuta mchumba baadae awe mke

natafuta mchumba baadae awe mke

Habarini wana jamvi mm ni kijana wa miaka 30 , ni mkiristu rc, nmehitimu chuo na nna kazi yangu bnafsi, natafuta mchumba tuyajenge hatimae tuwe na familia '''


vigezo
1 awe na umri chini ya miaka 27
2 awe dini yeyote
3 napendelea aliye na mwili wa kawaida sio mnene sana
4 iwe bora km anatoka kanda ya ziwa maana mm nipo mwz
5 awe n uwezo wa kupgana kuingza uchumi aidha kuajiliwa au kujiajili,,
aliye tayar karb pm,, ntarudsha mrejesho
Ukipata wa ziada nishtue mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom