Japo ni Mkristu navutiwa sana na wanawake wa kiislamu "Wanaovaa Hijabu"


Status
Not open for further replies.
Khan

Khan

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Messages
4,195
Likes
4,229
Points
280
Khan

Khan

JF-Expert Member
Joined Dec 6, 2012
4,195 4,229 280
Habari za siku wanajukwaa..

Kiukweli sijui ni matatizo au hali ya kawaida, siku zinavyozidi kwenda najikuta kuvutiwa sana na mabinti wa kiislamu hasa hawa wanaovaa hijabu.. sina sababu maalum hasa nini kinanivutia.. ila nikimwona tu mtoto kavaa hijabu napagawa!

Mimi ni Mkristu Mkatoliki Pure kabisa, Je nikiwa na mwanamke muislamu itakuwa na impact gani kiimani? wazoefu tujulishane ulipodate na binti wa kiislamu ilikuwaje? ni sawa na wakristu wenzetu? Mlikutana na changamoto zipi za Kiimani!?

Baada ya hapo nipeni mbinu za kivita za kupata hawa watoto natumai wataituliza nafsi yangu!

Mabinti wote wa Kiislamu Mnaovaa Hijabu nawapenda sana!

Mkatoliki!
 
Khan

Khan

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Messages
4,195
Likes
4,229
Points
280
Khan

Khan

JF-Expert Member
Joined Dec 6, 2012
4,195 4,229 280
Hijab ni vazi la mashariki ya kati kwa Waisrael, Wayaudi, Wamisri, Waarabu n.k hata masister wa katoliki nao wanavaa hijab so kama unalipenda tafuta hata mkristo mwenzio mshonee hijab avae
Nataka Hijabu kama jinsi zinavyovaliwa na waislamu
 
Status
Not open for further replies.

Forum statistics

Threads 1,251,650
Members 481,811
Posts 29,779,032