Mtaani Kwetu: Massage Parlours in Dar es Salaam

Kibanga Ampiga Mkoloni

JF-Expert Member
Aug 9, 2007
18,697
8,843
[h=2]Massage Parlours Dar es Salaam[/h]
Full Moon Massage.

Mariams Massage.

Anitas Massage.

Mayfair Shopping center Massage.

Shoppers Plaza Mikocheni Hair and Massage.

Beauty and massage Palour near Billionaires club Mikocheni.

Salhas Massage.

Lisa Massage.

Jangwani hotel massage.

Serena Inn Spa and Massage.

9fourteen Massage & Spa.

Anantara Spa at Hyatt Regency Dar es Salaam, The Kilimanjaro.

Rio Gym and Spa.

SkinDeep.

Magic Hand.

SpaatBlue Pearl Hotel.

The Touch Spa.

Arena Spa.

Cleopatra's Spa

Executive Therapy Centre.

Radiant Health and massage.

Oriental Care Spa.

High Care Center.

Lemon Spa.

Radelicious Spa & Salon.
 
Direction is very important Sir. Nadhani kwa sasa wale wanaotoa Health Magazine wanahitaji kutoa angalau Business Card Advert ya Massage Centers hapa TZ. Hii ni kutona na biashara hiyo kushamiri na kuwa kivutio kwa wale wapenda starehe na hasahasa kwa wale kutwa nzima wameinamia vitanakilishi vyao ofisini, bank, dukani au kwingineko katika mahangaiko ya maisha.
 
Ehh, hiyo 0.1% ni ipi mkuu, kwa hiyo siku nyingine nikisikia mtu anafanya kazi Massage parlour najua kazi yake ni kushika mipini?
Hiyo nimeweka tu kama +/- but hizi massage parlour nyingi ndio zake.
Kama mtu anafanya kazi huko ujue atakua anaijua kila aina ya mipini!!
 
Teh teh teh, mjini shule eti eh! Watu wamepiga mahesabu kutafuta biashara inayolipa wakagundua ni kuuza "mbimbi" lakini kwa kuwa serikali "imeipiga marufuku biashara hii" wakabadirisha jina, chupa ya soda lakini ndani gongo!
 
Unaambiwa eti usaule kila kitu, then unapewa taulo lao uvae.
Wakati wa shughuli ya kukandwa mwili, mara ya kwanza mikono inaishia kitovuni,
akiona hujastuka akirudi tena anaishia kiunoni,
akiona hakuna negative respond kutoka kwako basi akirudi tena anaishia ambapo nywele nyingi zimeota,
kama utaendelea kukaa kimya basi safari hii anaishia chini zaidi na kuigusa "rocket ranger" yako,
na kama wewe umelainika basi hapo kwenye ranger, ndani taulo lazima patakua pameinuka kwa muinuko mkubwa mno,
haya yote anayafanya huku akiwa kafungulia sauti lainiiii ya radio na yeye akichombeza kwa sauti yake ya mahaba, taa zinawashwa zile za rangi tu na yeye anakua kavaa kiuchokozi.
Yaani kama ukitaka kujipima wewe ni mgumu kiasi gani, humaindishi mademu na ni mcha mungu basi nenda kwenye hizi parlour then ukiweza kutoka mzima basi wewe kweli umefuzu.
 
Duh mkuu, haya unayasema kutokana na research au kusikia! I hope it is the later
 
Back
Top Bottom