Je, penye wivu ndio pana mapenzi ya kweli?

Korokochoo tuu.

Mi sinaga wivu hata kidogo, ukinipenda sawaa ukiniacha sawaaa... ntavovikosa itakuwa si riziki yangu.... kiroho safi naendelea na maisha mengine.

Mahaba ndo mpango mzima.
 
Kwa hyo ukiwa na mpenz na unajua mpo wa wili au zaid wala huwaz??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo sio matatizo yangu bali yake na ndugu zake na huwa sitaki kushirikishwa.
Hainisumbui kichwa hata kidogo kuna vitu vingi tuu napenda kuvifanya ntatumia muda kuvifanya kuliko nitumie muda kufatilia kwanini anampenda huyu na yule kwanini ana cheat.....

Mie mwenyewe sio malaika, na cheat mara kibao.
 
Okey kwa hyo inakua ngoma droo?? Hahahahahaha..

Back
Top Bottom