Imekaaje hii?

Imekaaje hii?

PEVU HALISI

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2018
Posts
207
Reaction score
85
Nina miezi michache na huyu manzi, ila kuna katabia kake nimekagundua.
Ikitokea nimevaa nguo ya juu na akaipenda anataka nimpe hiyo hiyo hataki nyingi.

Vipi wenzangu, ishawahi watoke hii au ndio visa kwangu tu???
 
Write your reply...ushatia mimba Kama ni mwanafunzi nakushauri hapo ulipo zima data kakate tiketi mapema kimbia mbali mkuu.




Sent by my TECNO AMBER RUTTY AG 7 using jamiiforums
 
Hua wanapenda tu hata kukaa nayo...inawezekana wakachukua na wasiivae..just hua znawafanya wajihisi wapo karibu nasi.....

Sema nilichukuliwaga nguo na shati langu la jinzi(nililipenda saana)....na mpk sasa anazo na anavaa(tumeshaachana lkn)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiv kuna ukweli juu ya hilo ??? Binafs mwaka 2019 nilianza nikiwa na mpenz wang na siku chache mbelen nlimkuta kavaa nguo zangu, nliona Kawaida tu lakin juz ananiambia anajihis ana mimba ila hajapima anangojea MP kuanzia tarehe 20+ ....nimeona hii comment nahusisha na kilichotokea bado sijui ni kweli
Ushampachika mimba jiandae kuwa baba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hua wanapenda tu hata kukaa nayo...inawezekana wakachukua na wasiivae..just hua znawafanya wajihisi wapo karibu nasi.....

Sema nilichukuliwaga nguo na shati langu la jinzi(nililipenda saana)....na mpk sasa anazo na anavaa(tumeshaachana lkn)

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtihani sana.. Utakuta umeipenda na yeye kaipenda na anaitaka si watulie tu na zao
 
Hiv kuna ukweli juu ya hilo ??? Binafs mwaka 2019 nilianza nikiwa na mpenz wang na siku chache mbelen nlimkuta kavaa nguo zangu, nliona Kawaida tu lakin juz ananiambia anajihis ana mimba ila hajapima anangojea MP kuanzia tarehe 20+ ....nimeona hii comment nahusisha na kilichotokea bado sijui ni kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
Huenda ikawa ni kweli ila si asilimia zote kwamba ndio ipo hivyo, naamini hilo
 
Hiv kuna ukweli juu ya hilo ??? Binafs mwaka 2019 nilianza nikiwa na mpenz wang na siku chache mbelen nlimkuta kavaa nguo zangu, nliona Kawaida tu lakin juz ananiambia anajihis ana mimba ila hajapima anangojea MP kuanzia tarehe 20+ ....nimeona hii comment nahusisha na kilichotokea bado sijui ni kweli

Sent using Jamii Forums mobile app

Subiri vipimo.....

Ila kuhakiki kama ni yako au laah.... hilo muachie muumba.
 
Back
Top Bottom