True love sio poa kabisa,utasamehe visivyosameheka

UMBWE1

UMBWE1

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2012
Messages
608
Likes
307
Points
80
UMBWE1

UMBWE1

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2012
608 307 80
Unagundua mtu anacheat lakin bado unamsamehee,unatumai atabadirika,kitu hatari zaidi kwenye mahusiano ni kuoa mtu kwa sababu unampenda kunauwezekano mkubwa ndoa ikaja kusumbua mbele ya safari kwa sababu love inadhalau kuangalia mambo mengine ya msingi,ni vizuri kuyachochea mapenzi ukishakuwa ndani ya ndoa.love is not a vital on making decision who to marry
 
TOEDSLOTH

TOEDSLOTH

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2018
Messages
557
Likes
929
Points
180
TOEDSLOTH

TOEDSLOTH

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2018
557 929 180
Unagundua mtu anacheat lakin bado unamsamehee,unatumai atabadirika,kitu hatari zaidi kwenye mahusiano ni kuoa mtu kwa sababu unampenda kunauwezekano mkubwa ndoa ikaja kusumbua mbele ya safari kwa sababu love inadhalau kuangalia mambo mengine ya msingi,ni vizuri kuyachochea mapenzi ukishakuwa ndani ya ndoa.love is not a vital on making decision who to marry
Dating many Girls is just a way of Confusing your Enemies from Attacking your main Girl, But ladies will not understand this Strategy,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Analyse

Analyse

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2014
Messages
4,645
Likes
2,758
Points
280
Analyse

Analyse

JF-Expert Member
Joined Jan 19, 2014
4,645 2,758 280
Kuna true love, lakini pia kuna uboya.

Niliachana na dem roho inaniuma sana, lakini sikuwa na jinsi. Nikikuamini kwa kiasi kikubwa na kukutreat vizuri alafu uje uchepuke.. Sirudishagi majeshi nyuma, solution hapo ni moja tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KingY

KingY

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2018
Messages
3,748
Likes
5,414
Points
280
KingY

KingY

JF-Expert Member
Joined May 22, 2018
3,748 5,414 280
Cole Williams

Cole Williams

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2016
Messages
26,798
Likes
157,268
Points
280
Cole Williams

Cole Williams

JF-Expert Member
Joined Jun 1, 2016
26,798 157,268 280
Kuna true love, lakini pia kuna uboya.

Niliachana na dem roho inaniuma sana, lakini sikuwa na jinsi. Nikikuamini kwa kiasi kikubwa na kukutreat vizuri alafu uje uchepuke.. Sirudishagi majeshi nyuma, solution hapo ni moja tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana Mkuu
 
recycle Bin

recycle Bin

Senior Member
Joined
Sep 21, 2018
Messages
191
Likes
137
Points
60
recycle Bin

recycle Bin

Senior Member
Joined Sep 21, 2018
191 137 60
Msaliti anaefanya usaliti wake ad wew unajua basi elewa dharau hapo imejaa tele fyekelea mbali mambo ya moyo mashine waachie wafilipino na wakorea ndio wanaweza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anotherperson

Anotherperson

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2014
Messages
288
Likes
251
Points
80
Anotherperson

Anotherperson

JF-Expert Member
Joined Jan 8, 2014
288 251 80
Mzee tunajua kazi mojawapo ya muziki ni kuenhance running performace so tac this song 'n run away from that fcn' bitccch
 
More problems

More problems

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Messages
411
Likes
230
Points
60
More problems

More problems

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2017
411 230 60
Msaliti ni mtu asiyestahili kusamehewa katika nyanja yoyote ile maana ni hulka

Shida haijirudii
 
Forum statistics

Threads 1,250,502
Members 481,371
Posts 29,735,823