Sio wanaume tu kwa sasa hata wanawake wanatabia hii.


pet geo pet

pet geo pet

Member
Joined
Jun 30, 2018
Messages
77
Likes
62
Points
25
pet geo pet

pet geo pet

Member
Joined Jun 30, 2018
77 62 25
Wakuu kama kichwa kisemavyo,katika pitapita zangu na miangaiko ya hapa na pale hapa jijini nimeona tabia moja ambayo acha niseme hapa jf.

Kama ilivo kawaida yetu wanaume kila akipita mwanamke lazima tugeuze shingo kuangalia kama kuna mzingo nyuma au hapana,basi hii hali imezidi kushika atamu kwani hata wanawake nao siku hizi wamekuwa kama wanaume kila akipita mwanamke kama yeye et nae lazima acheki nyuma kuna nini?

Kwakwel dunia tunakoenda sjui ni wapi tu.inakuwaje mwanamke unageuza shingo kuangalia maumbile ya mwanamke mwenzio,hiyo tabia nimeona sana tena sana.

Ushauri wangu kwenu nyie wanawake acheni hiyo tabia kwani ipo kwa wanaume tu na tuliumbwa hivyo,hizi zama za matako zitapita tu kama zilivokuwa zama za mguu wa bia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
min92

min92

Senior Member
Joined
Dec 23, 2018
Messages
102
Likes
259
Points
80
min92

min92

Senior Member
Joined Dec 23, 2018
102 259 80
Kunya anye kuku, akinya bata kahara!! Unavogeuza shingo kutizama makalio ya wenzio hakuna anaekukataza, sasa wewe kama nani uwakataze hao wanawake wasitizame??
 
Khantwe

Khantwe

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Messages
26,813
Likes
16,989
Points
280
Khantwe

Khantwe

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2012
26,813 16,989 280
Mimi pia huwa natazama kwa kweli ili nione uumbaji wa Mungu. Mwanamke akiwa na shepu nzuri anavutia kumtazama hata kwa macho ya kawaida sio lazima yawe ya kingono

Sent using Jamii Forums mobile app
 
cute b

cute b

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2014
Messages
12,383
Likes
14,884
Points
280
cute b

cute b

JF-Expert Member
Joined Aug 14, 2014
12,383 14,884 280
Mimi huwa nageuka kuangalia wanaume "watanashati tuu"
Kuna wanaume wazuri jamani, watanashati, wasafii, wananukia ukipishana naye unahisi umepishana sijui na nini hivyo inabidi ugeuke uhakiki ni mtu au jini.

Tutaenda sawa tuu
 
Valentina

Valentina

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2013
Messages
20,722
Likes
16,470
Points
280
Valentina

Valentina

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2013
20,722 16,470 280
Nani kasema kua wanaume ndo wana hati miliki pekee ya kugeuza shingo kuangalia neema za Allah?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
joely sandu

joely sandu

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2017
Messages
1,405
Likes
1,071
Points
280
Age
22
joely sandu

joely sandu

JF-Expert Member
Joined Nov 24, 2017
1,405 1,071 280
Wee ukiwaona jifanye kama unajikuna sawa injinia
 
princemikazo

princemikazo

Senior Member
Joined
Jan 10, 2019
Messages
161
Likes
108
Points
45
princemikazo

princemikazo

Senior Member
Joined Jan 10, 2019
161 108 45
Marioo katoa wimbo mpya unaitwa Wauwe
 
ben milazo

ben milazo

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2015
Messages
862
Likes
471
Points
80
ben milazo

ben milazo

JF-Expert Member
Joined Jan 18, 2015
862 471 80
kweli 2019 haki sawa kwa wote
 
Jile79

Jile79

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2009
Messages
12,157
Likes
4,012
Points
280
Jile79

Jile79

JF-Expert Member
Joined May 28, 2009
12,157 4,012 280
Htr sn hii sheikh...."in sheikh kipozeos voice"
 
Mtoto halali na hela

Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2012
Messages
22,997
Likes
6,166
Points
280
Mtoto halali na hela

Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2012
22,997 6,166 280
Nao wanatamani wangekua kama waliyemgeukia, ama wanamshangaa alivyokua kituko
 
Dark Rahl

Dark Rahl

Member
Joined
Dec 27, 2018
Messages
31
Likes
19
Points
15
Dark Rahl

Dark Rahl

Member
Joined Dec 27, 2018
31 19 15
Ukiwa busy sana hasa kiakili unaweza ukaona wote wanaume wenzako tuu.
 

Forum statistics

Threads 1,250,502
Members 481,371
Posts 29,735,823