Picha ya Mtoto wangu Yaniokoa na Miwaya


msolopaganzi1954

msolopaganzi1954

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2018
Messages
659
Likes
304
Points
80
msolopaganzi1954

msolopaganzi1954

JF-Expert Member
Joined Nov 20, 2018
659 304 80
........Nimekutana na mdada mmoja Mitandaoni.. Tukafikia kupeana namba za CM name mwisho mawasiliano yetu yakakua Sana Kama Miezi 3-4 Hivi.
..Akaja Dar es salaam kwa Ndugu zake Mbagala Rangi tatu....Tukapanga Ahadi ya Kukutana kwa ajili ya Mgegedo wa Hatari. Kweli Tukakutana Lodge Moja matata Pande Za Zakhem Pale Kama unaelekea Kiburugwa.
...Break ya kwanza Jikoni Bar... ugali Mkubwa na Mbuzi Choma... Pembeni Maji Makubwa ya Kilimanjaro,Baada ya Kufinya Menu tukajitosa Room,Majanga Ndo yakaanza.
.....Mrembo Kaenda Kuoga, Natalia kumfuata tuoge wote Akanigomea Kata Kata.....Basi Mzee baba nikabaki nachezea simu tu kwa Bed.
Alipomaliza Nami Nikajitosa kubath Lead kwa Game na Waarabu Wa Algeria.
Ile natoka bafuni, nakuta mrembo Analia Uku Amejiinamia na Kwikwi Juu...dah nikajuha manjonjo ya Manamwali Mpya.... UKICHUKULIA HII NI game Ya CL.
....Akainua Sura,ni kweli alikuwa Analia For Real.... Akaniambia kumbe una mtoto mdogo kiasi Hichi?... Kwenye look cha Simu yangu Kulikuwa na Picha nimepiga na mwanangu Nikaandika my only, Son.
....Akaniambia nikuambie ukweli Tu, Mimi Muhathilika Mwaka wa 3 Now... Na nimeshapoteza Mume na mtoto.... Kwa Ushahidi akatoa Cheti, pamoja na Dawa za Kila Siku.
........Duuuuuuuh Jamaa Akanywea Mara moja, Na nikapata mshtuko mkubwa Sana.... Kwani sikuwa na Ndomu. Nilipanga Kuuza Mechi mwanzo Neosho.
...Tukatoka nikamtia 20 ya Nauli,Till Now ni Rafiki yangu Wa Karibu, but Game nilishindwa kabisa.
#Niliokolewa na Picha Ya Mtoto ndugu zangu,Tuweke picha za Familia zetu sometimes Sinaokoa Sana.
PERIOD

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bilionea Asigwa

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Messages
16,232
Likes
23,728
Points
280
Bilionea Asigwa

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2011
16,232 23,728 280
Dah...
Sasa uliaminije kuwa hivyo vyeti na dawa vilikuwa ni original na sio feki.

Yaani mtu atembee na vyeti vya ngoma na dawa kuja navyo lodge kwenye mgegedo??
Utadhani alikuwa anakuja kwenye interview.
Nitaendelea kuamini wanawake wana akili sana asee.
 
Alisina

Alisina

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2016
Messages
3,437
Likes
3,368
Points
280
Alisina

Alisina

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2016
3,437 3,368 280
Mtoto wa Mjini umepigwa chenga ka'Maradona au Kadinyo kisha unasindikizwa na kibao cha mgongo.


Bado ukamsindikizia na Tujipesa...oooh shiiit WTF.

Amekuvuna Tayari.

Ukihonga sana hukawie kulost Mwana..

Usurudie uzembe wa namna hii Jombaa.


Also AIDS/HIV IS MYTH.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
msolopaganzi1954

msolopaganzi1954

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2018
Messages
659
Likes
304
Points
80
msolopaganzi1954

msolopaganzi1954

JF-Expert Member
Joined Nov 20, 2018
659 304 80
Seneta Wa Mtwiz

Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2013
Messages
2,344
Likes
1,723
Points
280
Age
27
Seneta Wa Mtwiz

Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Joined Sep 23, 2013
2,344 1,723 280

SAMAHANI KIDOGO,

SISI WANAUME WA DODOMA TUNAOLIALIA NA KUGALAGALA KABISA WAKATI WA KUWAVISHA PETE WANAWAKE TUNARUHUSIWA KUKOMENTI CHOCHOTE HAPA??Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,250,884
Members 481,523
Posts 29,749,538