Mpenz,
Asante kwa kunibembeleza, nimekuomba mchuzi kidogo umenijazia upawa.....
Nakupenda sana Dadii, maneno ya huu wimbo yanabeba ujumbe mzima wa kubembeleza.
Nywila wangu, utamu wangu, 🥰🥰🥰...
Kuna habari kutoka kwa wakubwa zetu nimezisikia kwamba kamwe katika mahusiano ya ndoa usiruhusu mkeo afahamu njia zako zote unazopita.
Yaani mfano mshahara wako kwamba asiujue wote ili upate...
Wadau habari za siku!! Nimeona nitoe kisa hiki nilichopata kusimuliwa na kukishuhudia miaka ya 2016 UDSM.
Kulikuwa na bi mdada kutokea maeneo ya kanda ya ziwa alikuwa ameolewa na kipindi hicho...
Naamini kuna wanaume washapigwa sana pesa na wapo ambao wanaendelea kupigwa kwa ujanja ujanja wa kina dada wa mujini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanaume ameonywa sana kwamba awe makini na mwanamke kwa sababu asipokuwa makini mwishoni humezwa.kwa hiyo mwanaume yoyote anayefanya mapenzi na mtu ambaye siye mke wake huyo anafananishwa na mtu...
Ndio baadhi ya marafiki zetu ni wanafiki. Wengi hawana ujasiri wa kuwa wawazi kwa wenzao badala yakewanakuchimba pembeni.
Wanatuficha ukweli. Wengi sio sincere wala honest. Majibu yao mengi yapo...
Wanajukwaa habari za weekend? I hope mpo poa. Me leo nataka tuwekane sawa kuhusu hiyo mitandao miwili,kuna kidemu nilikikuta eskimi nikakichokoza "mambo" kakajibu "poa" ,pande zipi "mikocheni"...
Hii ni tips nawapa wanawake.
Wanaume hatuna tabia ya kuacha mwanamke hata kama hatumpendi. Hii ni hulka ya wanaume wote.
Mwanamke lazima uelewe kua hata kama mwanaume hakupendi hawezi kukwambia...
Kila mmoja wetu ni shahidi kwamba mabadiliko ya teknolojia yameleta athari hasi na chanya katika nyanja tofauti za maisha ya kila siku ya mwanadamu. Katika mabadiliko haya rika zote zimeguswa...
Je kwa mwanaume kutongoza au kutumia kipindi kirefu kubembeleza msichana, ni kitu ambacho kinaweza kuwa sababu ya kupenda kwa dhati au kupenda sana na kuwa na upendo wa dhati kwa binti huyo mmoja...
Kwanza R.I.P regend miaka 66
Albums 58
Single 696
Ukiwa tajiri no 2 Africa kwa wasanii
NERIA, TODI na MIMI NI MIMI ukiwa na Malkia Ladjaydee pembeni bila kusahau ile movie pendwa ya NERIA na...
Amani iwe kwenu wana-MMU
Naomba tupeane uzoefu wana-MMU hivi ni kwanini baadhi ya wanawake wakifanya makosa kwanini wanapenda sana kujijitea na kwa kuona kwamba wanaonewa na kunyanyaswa hata...
HADITHI: KIVULI CHEUSI
SEHEMU YA KWANZA
Panga boi lilikuwa linazunguka taratibu, bila kuleta dalili yoyote ya ubaridi. Sifahamu kama ilikuwa ni udogo wa chumba, ama ni hali ya hewa ya jiji...
Sijui ni kwanini sisi wanawake tukizoeana na wanaume na kuwa marafiki sana hata wakija kututaka kimapenzi inakuwa ngumu tunaogopa.
Unakuta ni mtu wako sana yaani, mnashare kila kitu hata mizinga...
Wasalaam.
Hapo awali Huyu bwana mshana alikuwa hakauki story zake humu na huyu bibie ANGEL NYLON. Vile Walikuwa wanafuatana kila Uzi kama mikia. (Sina hakika kama huwa wanachachuana au ndio Ku...
Aisee, sikuwa najua umuhim wa kuoga baada ya kupiga gemu, leo ninepanda gari na maza ananuka ndom mwanzo mwiso, sijui ni sababu ya jua kali au yule maza alizidisha kipimo, ila almost abiria woote...
Mwanzoni mwa miaka ya 2014 hadi 2016 nilibahatika kupata msichana ambaye alikuwa ni new intake katika shule ninayofundisha, baada ya kuona ananifaa nikamuaproach na tukawa naye katika mahusiano...
Mwamzo niliagiza maji sio kwamba sina hera. Sasa unadengua kukuita kisa nakunywa maji. Haya saizi nimekuagiza chupa ya jackdaniels ndo unavuta kiti nawe unakaa! Naomba utoke kabla sijamuita...
Wewe ni Mwanaume Umeoa Mwanamke ambaye
aliachika Kwa Mume akiwa na mtoto Mmoja Na
wewe uliamua kumpenda na kumuoa jinsi alivyo .
Umeishi naye kwa Muda Wa Miaka mitano hivi
akiwa na huyo Mtoto...
wana jamvi habari za HARDTALK....
kuna jambo nataka kushare na ninyi hasa wanawake waniambie nini huwa wanafikiria.
nina rafiki yangu alikua very decent na mtu mwenye misimamo hasa swala kuwa na...