Ndio baadhi ya marafiki zetu ni wanafiki. Wengi hawana ujasiri wa kuwa wawazi kwa wenzao badala yakewanakuchimba pembeni.
Wanatuficha ukweli. Wengi sio sincere wala honest. Majibu yao mengi yapo usoni ingawa hilo hatuligundui. Anaweza kukujibu kwa kukunja uso, kuvimba pua au kurefusha domo!!
Rafiki insincere ni huyu; anajifanya ku sympathize na wewe lakini deep inside hapendi upate maendeleo. anajifanya kukupongeza lakini moyoni anaumia. Anajifanya kulia lakini moyoni anapata satisfaction fulani kupitia matatizo yako. anazuga kama partner wako lakini kumbe ni mshindani wako. Ukipata anaumia na mara anatafuta visingizio kueleza jinsi ambavyo ati hukustahili kufanikisha katika kazi, mahusiano, masomo, biashara nk ..
Kama kitu hakubaliani nacho hakwambii lakini utaiona tu body language. Wewe unamuongelesha yeye anasoma gazeti au anachati na simu tena mambo ya kijinga.
Hawa ni marafiki cowards. Anashindwa kukwambia direct lakini mapungufu yako anateta na watu wengine.
Wa kuwa na tahadhari nae sio anaekwambia ukweli bali ni rafiki ambaye anauona ukweli lakini yuko too coward kukwambia. Ati kwa kuchelea kukuudhi.
Rafiki ni mnafiki. Ukimpa siri yako inaweza kuku cost. Ndio maana wanasema siri ya watu watatu iko salama kama wawili kati yao watakufa!
Ukimkopa anaweza kukusaidia lakini baadae jioni anaenda kukuteta na mkewe au jamaa mwingine.
Marafiki wengine ndumilakuwili. Anajifanya rafiki kumbe anamtaka mkeo au anatembea na mumeo.
Ulipokuwa nazo mlitumia wote lakini shekeli zikipotea yeye ndo wa kwanza kukusema kwa watu kwamba ulikuwa ukitumia pesa vibaya!
Marafiki wengine hawana maana.
Yeye akiwa na shida unapokea simu yake akijua wewe una tatizo hapokei simu yako. Huu ndio u cowardice ninaosema.
Urafiki thabiti ni pamoja na kuambizana ukweli. Rafiki anapaswa kuwa kama kioo cha kujitizamia. Akwambie unapokosea. Kwa uwazi na upendo. Lakini marafiki wengine wanasubiri uharibikiwe ili wakucheke.
Siku nyingine adui ana msaada zaidi. Ukivaa vibaya si rafiki atayekustua bali jamaa tu mnayetaniana ofisini au mtaani.
Ukipendeza pia si rafiki atakayekusifia bali watu wengine. Ukiwa unasemwa vibaya ofisini au nyumbani si rafiki atakayekutonya bali watu unaodhani ni maadui wako.
Wanasema kuna vitu au watu wawili wanaosema ukweli _ mlevi na mtoto.
Kama kanzu yako chafu mlevi atakueleza. Kama mtoto akikuona unachungulia dirishani kwa watu mtoto atakuumbua.
Ndugu baadhi yao sio honest pia. Anavyokusema ukiwa haupo sivyo atakavyoongea mkikutana. Tujifunze kuwa na ujasiri wa kuambiana ukweli. Marafiki mkijifunza kuambizana ukweli utawaweka huru na upendo utashamiri.
Kutetana hakusaidii kitu. Tena kama ukweli mchungu basi mwambie rafiki yako huku unamuangalia usoni. Don't be a coward.
Kuwa na marafiki cowards, wanafiki na wasio wawazi ni sawa na kufuga nyoka nyumbani. Washikaji au mashosti wasengenyaji, wasio wawazi, waoga kukwambia ukweli, ndumilakuwili nk, ni wa kukwepa kama ukoma. Hawafai.