Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,805
- 43,230
Mpenz,
Asante kwa kunibembeleza, nimekuomba mchuzi kidogo umenijazia upawa.....
Nakupenda sana Dadii, maneno ya huu wimbo yanabeba ujumbe mzima wa kubembeleza.
Nywila wangu, utamu wangu, 🥰🥰🥰 Dadii wangu, Mfalme wangu, Kitoko wangu, kiboko ya Matata ya Kasie....
Hello, is it me you are looking for....
Remix na ... aaahh go Gaga..
Mmuah 💋💋💋
Kasinde.