ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,048
- 61,369
Mwanaume ameonywa sana kwamba awe makini na mwanamke kwa sababu asipokuwa makini mwishoni humezwa.kwa hiyo mwanaume yoyote anayefanya mapenzi na mtu ambaye siye mke wake huyo anafananishwa na mtu aliyemezwa na malaya.na Malaya Ana maneno matamu Kama asali.kumbukeni stori ya adamu na bibi yetu eva(hawa).kinachotokea hapo Ni kuwa unakuwa umeibiwa nguvu zako na malaya.unakuwa umemuuzia taji lako(crown).ila kwa kuwa tunakuwa hatutaki kusikia kichwa kikubwa badala yake tunakisikia kichwa kidogo kwa msaada wa nyegezi tunapotezwa.tunadhani sisi ndio tunawahitaji kumbe ukweli Ni kuwa wao ndio wanatuhitaji zaidi.ile nyama (K) ni nyama ya maajabu hata ukiipika haiivi naifananisha na kidonda ambacho kinahitaji kupigwa mswaki kila siku.tambua siku zote mwanamke hakomeshwi hata ukiwala Mia hasara ipo kwako.usijisifu una nguvu badala yake umeliwa wewe actually umeliwa kiroho
Chanzo Cha habari:kitabu Cha mwanzo na Mithali
Chanzo Cha habari:kitabu Cha mwanzo na Mithali