Usikubali kuliwa hivi hivi

MKALI WA MAMBO

JF-Expert Member
Aug 9, 2018
211
145
Naamini kuna wanaume washapigwa sana pesa na wapo ambao wanaendelea kupigwa kwa ujanja ujanja wa kina dada wa mujini.
20190123_101502.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha, nina wangu tulikutana group la wassap huko kidogo baby pesa ya saloon, namtumia, mara pesa ya kubandikia kucha namtumia kuonana hataki.

Nikasema hanijui, akituma sms namjibu fresh tu, akisema saloon namtumia buku tatu namwambia hiyo pesa ya saloon kanyoe hizo nywere gharama.

Akituma sms ya kubandika kucha namtumia buku jero , namwambia nenda kanunue kiwembe ukate hizo kucha ni gharama.

Akiomba vocha namtumia kawaida tu, sasa kakoma haombi pesa ya saloon wala kubandika kucha.
 
Hahaha, nina wangu tulikutana group la wassap huko kidogo baby pesa ya saloon, namtumia, mara pesa ya kubandikia kucha namtumia kuonana hataki.

Nikasema hanijui, akituma sms namjibu fresh tu, akisema saloon namtumia tatu namwambia hiyo pesa ya saloon knyoe hizo nywere gharama.

Akituma sms ya kubandika kucha namtumia buku jero , namwambia nenda kanunue kiwembe ukate hizo kucha ni gharama.

Akiomba vocha namtumia kawaida tu, sasa kakoma haombi pesa ya saloon wala kubandika kucha.
Sawa tumekuelewa ila umekula
 
alafu unakuta pisi kali kichizi inaandika utumbo hivyomkuu unajiweza eti
Kweli mkuu nina demu wangu mkali ila kweny coconut yake zero sms mpaka nimwambie dia tenganisha maneno na space bar hapo chini sio kwa full stop na anavyopenda kufupisha maneno duh hatari huwa navumilia some times huwa na mpigia tuonge tu sio sms..
Ila nampenda kiK***@
 
Utakuta kaombwa 5000.KAAMUA KUANZISHA UZI...MKUU...KUHONGA KUNAKUONGEZEA SIFA ZA KIUME...MWANAMKE anapenda awe sehemu salama,,,sasa kama 5000 mnasumbuana,,,UNAWEZA KUMFANYIA NN KINGINE?Siku zote MWANAMKE akija kwako elewa kuna kitu kimemvuta kwako so special.,,AKISHAKUWA WAKO,,,HAPO NDY ANAANZA KUPENDA KWELI....,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom