Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mara shaa katika pita pita zako unamfumania demu wako Je! utafanyaje au utaamua nini? mimi nitaamua kusepa tu kwa amani wanaume mnasemaje? Kama ikikutokea na kumbuka wanaume huwa tunaumia sana...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Bila kujali jinsia. Kuna nyakati mashemeji wanaleta mashitaka ya ajabu sana. Lengo linaweza kuwa zuri kuimarisha mahusiano yake na nduguyo/jamayo ila bado haiondoi ukweli kwamba ni mashitaka ya...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Huu ni ujumbe tu kwa wanaume wenzangu. Pamoja na magumu anayopitia mwanaume mwenzetu ndugu Robert G. Mugabe, the ten executive president of Zimbabwe yanayotokana na mke mpenzi, hatuna budi kuacha...
24 Reactions
123 Replies
24K Views
Bila kupoteza muda twende kwenye mada directly. Kwa nature ya mtu anayeitwa mwanamke na nature ya mtu anayeitwa mwanaume hawa watu wakikaa ofisi moja kwa muda wa masaa 8 kila siku ndani ya wiki...
23 Reactions
167 Replies
26K Views
Wiki mbili zilizopita niliweka uzi juu ya usaliti niliofanyiwa na ukweli ni kuwa siku za mwanzo nilikuwa na nguvu sana lakini kadr isiku zilivyozidi nilijiona kuwa mnyonge na kukosa furaha huku...
2 Reactions
81 Replies
8K Views
Ushauri mwanana kwa dada zangu ,Nafahamu wengi hampendelei sana soka lakini hii itawasaidia kumjua mwanaume ataedumu kwa nyakati zote . Mwanaume akikutongoza muulize anapenda timu gani akitaja...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Iwapo umeona demu au men mzuri akakuvutia jambo la kwanza utachungulia kwenye mkono wa kushoto kuona kama kuna pete, ⁣ ⁣ Kwa nini usumbuke kiasi chote hicho, sayansi imekuja na jibu rahisi kabisa...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Hiviii kwa kumwangaliaaa utajuajeee kama demuu ni bikiraaaa??[emoji20][emoji12][emoji12] Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
46 Replies
9K Views
Wakuu, Hivi kumwambia mwanamke wako nakuaminii na kuwa huwezi kuja nisalitii kuna imchango wake katika kulinda penzi lenu??? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
37 Replies
3K Views
DISCLAIMER: "TO SET THE RECORD STRAIGHT, Nyani Ngabu IS NOT MY DADII..." Mahabuba Dadii..... Dadii, kwa kila nifanyalo, unanijia mawazoni na akilini mwangu.... Wajua nimetingwa na majukumu ya...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Wapendwa, Habari za kutwa nzima na habari za usiku huu. Nyie jamani kama hujawahi kuachwa usitamani hiyo hali ikukute. Kuachwa kunauma nyie jamani, yaani moyo unauma, akili inajaa mawazo na...
11 Reactions
138 Replies
8K Views
Tuwaheshimu Sana wanawake wetu kazi ya kuzaa ilikuwa Ni agano Kali sana ambalo Mungu aliagana nasi.uvumilivu na ujasiri wa kiasi Cha juu Sana kutuleta duniani.kwenye mambo ya kuzaa Kuna mengi Sana...
4 Reactions
40 Replies
4K Views
Habari za asubuh wana nzengo. Ijumaa baada ya kutoka kazin,nilipita sehemu kupiga mbili tatu kabla sijarud nyumban. Ikatokea nikakaa meza moja,ilikuwa ina kinywaji Ila hakijafunguliwa,akaja...
7 Reactions
65 Replies
7K Views
Nimekuta hiii tahadhari twetter " Vijana wenzangu umalaya ni gharama" Vijana wengi wanatumia mitandao kupata mahusiano mapya ya kingono ni kundi dogo sana la vijana wanaojua kuwa Umalaya ni...
8 Reactions
61 Replies
8K Views
Salamu Kuna hii hali inanitokea mara kwa mara. Sijui ni mkosi, sijui ni pepo sijui ninini? Nikimtongoza demu yoyote na kuanza naye mahusiano , baadaye ni lazima ije itokee kupendwa zaidi na...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
  • Closed
Salute.. Wanaume: Kuna wakati unaweza kukutana na mwanamke fulani kufanya tendo lakini uume ukashindwa kufanya kazi kabisa na unajua kabisa huna matatizo ya Nguvu za kiume. Ujue basi dem kategwa...
14 Reactions
138 Replies
26K Views
Najua mnaweza msisikie ila ngoja niseme tu, Nimekua na mahusiano na bint ni takriban miez saba, nimejitahid kumfanya awe free sana kuongea kila anachojisikia na kufunguka. Kikweli historia yake...
24 Reactions
43 Replies
4K Views
Napenda kumuishi happy weekend dabby , asprin,kwantwe,gudume,trump water,mgugu,guerrero,toxic 9,miss natafuta,heavenly saint , skylet ,Madam S , Archuduke,jowezy na wengine wengi. Karibuni...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Aiseee wanawake ni Noma kuna njemba moja hapa ofisini kwangu kwenye kiepe inatongoza demu wa mtu, na demu kashalainika kahaidi kesho atatatoa mchezo, Demu mwenyewe mi namjua ni mke wa teacher...
2 Reactions
41 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…