Majuzi jamaa angu ambae ni my frnd tangu o level alienda kumtembelea mpenzi wake dom mpenzi wake anasoma chuo uko dom lakin kabla ya kwenda alikua ananiambia uyo mpenzi wake anataka yaan jamaa...
Ndugu habari zenu,leo nakuja na uzi special kwa ajil ya kuendelea kujenga mahusiano hivi ni sawa kumwonesha mpenzi wako kama really unampenda?? na kama ulishawai mwonesha kilitokea nini??
Majibu...
habari wa JF,
kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosema kuna dada mmoja kwa jina Nancy, ni mteja wangu wa nguvu ktk huduma za simu pesa(miamala). Kila siku lazima aje aweke/kutoa/kutuma si...
Kwa hakika nimekuwa nikiona kiuno feni kwenye baikoko video; ila sikuwahi kutana nayo live live kwenye mechi zangu; wadau hizi mambo zipo kwenye baikoko tu au mpaka tupate wadada wa tanga???
Huu...
SCRIPT ZA IMA
KUTOKA KWA:MSANII JOTO LA MOTO.
NYUMBANI KWA TONI-NDANI-MCHANA.
Toni, bwana wa makamo, 40,anaweka yaraka zake kadhaa kwenye mkoba, Pembeni yupo Sheila, Mwanamama mrembo, 34...
Unakutana na mwanaume kwa mara ya kwanza,ghafla anaandaa mazingira ya kutaka umpe nyapu
Yaani yeye akishakutongoza na kumkubalia target yake ni kukuandalia mazingira ya kukula
Mara akuombe uende...
Swala hili limewatokea wengi, unampenda mdada, unamuomba awe girlfriend au muwe kwenye mahusiano,
Sasa ikitokea yeye alikuwa anakupenda ila alishindwa kukueleza hapo sawa mtakaa sawa ila kama...
Salamu sana.
Poleni na majukumu
Hivi nikweli hii kauli kwamba kuna baadhi ya wanawake wengine ukikutana naye kimwili unakuwa na mikosi, na wengine ukikutana naye unakuwa na bahati?
Mimi binafsi...
Ushauri jmn simu ya mume wangu imejaa majina ya kike tu kila ukimuliza anasema ni classmate wake cha kushangaza anaasave jina kamili na anamalizia clasmate wenye uelewa tafadhali tusaidiane.
Tuna mahusiano ya zaidi ya miezi nane.leo nikamwambia ninunulie kifurushi kupitia simu yako kwa kuwa me nadaiwa na tigo nilikopaga tigo niwezeshe.si ndo ikafika ile sehemu ya kuandika namba eti...
Sijali huna wowowo, sura nzuri wala shepu mi nimechoka na udomo zege njooni tule maisha maana wa makonde wanasema Life is too short to be a domo zege
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna siku nakumbuka nilikua na manzi wangu tunalamba mkopo wa sukari ghetto sasa wakati napiga zile in and out mara condom ikapasuka bila mimi kujua.
Mimi nikawa naendelea tu kulamba mkopo wa...
Katika hali ambayo sio ya kawaida nimejikuta nakubwa na tukio la ajabu sana na limeniwekea historia kubwa sana katika mahusiano.
Katika maandalizi ya kuiandaa papuchi ili iwe tayari kwa mgegedo...
Jamaa yetu kitaa amevimba uso, hana hamu tena na mke kachapiwa. Ilikuwaje! ungana nami.
Kwa muda jamaa aliskia kiwa kuna afande mmoja anamla mkewe. Jamaa kwa mwendo wa kobe akaanza kufuatilia...
Wakuu,
Hii tuichukulie vipi?
Siyo kwamba huyu mwanadada amejiweka standard ambayo siyo yake ndo maana hakuna anaeweza poteza muda na pesa yake kwake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwisho wa siku Single mother nae ni mwanamke kama wanawake wengine, anayo kila sababu ya kuhitaji kupendwa, kuolewa, na kuwa na mwanaume ampendae.
Yeye kuwa na mtoto hakumfanyi asivutie...
Kuna Binti...... [emoji23][emoji23] Tittle kali. Ila JF napapenda sana.. Mtu unaoa demu ana watoto watatu eti kisa umri wake mdogo aliye muambia azae haraka haraka nani [emoji23]
Any way hii story...
Hi,
Leo natoa intro-jinsi ya kupata mtoto na jinsia uipendayo na haswa mapacha;
Kwa mapacha wa kike na kiume kwanza hakikisha mkeo yupo katika kipindi cha joto yaani yai lake lipo tayari...