AMKA:Pesa haiwezi kumtuliza mwanamke

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Nov 2, 2012
1,110
2,000
Habari za usiku wanajamii forum
Kwa muda sasa ninaona nadharia ya PESA inapewa mashiko sana kwenye mahusiano,mtu anakuambia tafuta pesa wanawake hawatakusumbua maana kwenye pesa mademu hutulia tuliiii,sasa shida inakuja pale pesa inapokwisha mahusiano yenu yanakuwaje?maana siku hizi watu wana kitu inaitwa CONDITIONAL LOVE,ikiwana maana mtu anakupendea kitu,sasa kile kitu kinapokwisha inakuwaje,jamani tuache maswala ya kusema wanawake wzuri ukitaka utulie naye tafuta pesa,sawa atatulia lakini sio kwa maisha yako yote pindi pesa inapokata na yeye anakatika,tutafute pesa kuwasaidia ndugu zetu na wazazi wetu na sisi wenyewe ila isiwe chambo ya kupata mtoto mzuri ambaye pesa ikiisha na yeye anaishia

Nice weekend
 
abdi ally

JF-Expert Member
Dec 4, 2018
1,568

Vijana wa leo wanahonga sana ufund hakuna
 
Mr Miller

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
11,195

@Quinton Canosa
 
Bulaya001

JF-Expert Member
Dec 21, 2018
5,542
2,000
nimeckia kauli za wanaume wanzangu zaid 1k wakisema "me nikifanikiwa namnunulia mke wangu gari" lakini sijackia kauli hata ya mwanaume yeyote anayesema atamnunulia mama/baba yake,
kaka kitu kinachohusiana na hisia si cha mcheso mcheso!!

#mapenzi hisia!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
igwee frm anambra

JF-Expert Member
May 16, 2015
662
1,000
Na hakuna kitakachoweza kumtuliza mke/girlfriend /hawara ambaye si sahihi kwako

Mnapochagua mke muwe waangalifu sana.

Hivi vigezo vya mwanamke mrembo/msomi + muajiriwa/ businesswoman vinatesa wengi sasa hivi.Sent using Jamii Forums mobile app
 
Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
13,165
2,000
Mtoto mzuri na ili aendelee kuwa mzuri ni matunzo,na matunzo ni pesa na si maneno ya taralila;vinginevyo utafute mpenzi mwenye mfanano wa sokwe....hutopata mateso hata ukiwa huna ela.
 
mark girland

JF-Expert Member
Feb 7, 2019
1,028
2,000
Hata asipotulia atalika kirahisi. Shida ya vijana wengi siku hizi mnataka wanawake wawapende ilihali wale hawajaumbwa kupenda. N;B. Mwanamke hana hisia yoyote kwa mwanaume isipokuwa anakaa na mwanaume kwa ajili ya vitu( pesa).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom