Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Leo katika harakati zangu za mchana nimeenda kutafuta mkate wa siku ya ijumaa ili nile na mke wangu kipenzi nimezoea kurudi mida mibovu lakini Leo mambo yalikua tofauti nimerudi gafla bila kutoa...
19 Reactions
214 Replies
22K Views
Naona kushamiri kwa biashara ya ngono dunia kwa mataifa mbalimbali huku wanunuzi wakiwa na Wanaume na wauzaji wakiwa ni wanawake. Ni lini biashara hii ilianza? Ilianza nchi gani? Na kwanini...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Hivi wadau tunavyo sema upungufu wa nguvu za kiume ,hapa swala ni kutofikia mshindo Mara nyingi au kuto simamisha uume kwa muda mrefu, hebu tujadili hili tutabainishe
1 Reactions
9 Replies
6K Views
Wadau habari, Husikeni na kichwa hapo juu kuna binti mmoja tulikuwa tunaishi naye mtaa mmoja..mimi nikiwa nimepanga na yeye akitokea kwao,sasa nnapotoka kazini mara nyingi nilikuwa napitia kwenye...
6 Reactions
112 Replies
11K Views
Nakumbuka kitabu chenye hiyo title kilikuwa na simulizi ya kuvutia kuhusu mapenzi. Wahusika wakuu wakiwa ni Faridah, Ihucha, Uncle Musa n.k. Eneo lililotajwa mara nyingi lilikuwa ni Mwenge kama...
0 Reactions
20 Replies
10K Views
Habarini za saa hizi wana Jf Nimefanya utafiti wa kudate wanaume tofauti, tofauti, ila wanaume wenye sura ngumu na warefu walitokea kunikuna mtima wangu hadi nunuu yangu iliomba poo. Wanaume...
11 Reactions
208 Replies
20K Views
Je ni kundi lipi kati ya wanawake au wanaume ambalo lina wivu sana kwenye mahusino/mapenzi?? Ukweli ni kwamba wanaume tuna wivu sana kwenye mahusiano japo wengi huwa tunajikuta wagumu sana lakin...
1 Reactions
96 Replies
7K Views
Wakuu,wiki hii ilikua wik ya siku yangu ya kuzaliwa,mabint wameniwish nin,mi kiukwel katka vtu ambavyo hua vnanipita ni hii siku,huwaga namshukuru Mungu tuu then inapita,sasa hii ya sasa hiv.huyu...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Siku zote fungua milango kwa watoto kufurahi nyumbani kwako na watoto wenzao na utawasaidia kuepuka mengi kwa dunia ya sasa yenye changamoto za kila namna. Utajua wanacheza michezo gani, wanaongea...
54 Reactions
105 Replies
13K Views
Hiyo inajieleza ni kweli house girl au wanafunzi hawanaga uchungu wa nataka embe bichi, chipsi za musa, mara pepsi baridi mara nataka kunusa harufu ya kwapa la mme wangu usioge, Je hayo ni...
20 Reactions
78 Replies
10K Views
Naomba tu kujua kuna Siri gani iliyojificha katika Baiskeli hadi Wanawake wengi waseme huwa wanapenda, wanasikia raha ( wanakunika ) Kimwili na Kuchangamka zaidi wakiwa wanaendesha Baiskeli. Kuna...
2 Reactions
29 Replies
4K Views
BOYFRIEND and Girlfriend ndiyo jina la kolamu, tukijadiliana mambo muhimu ambayo vijana walio kwenye urafiki, kabla ya kufikiria kuhusu uchumba na baadaye ndoa wanapaswa kuyajua. Wapo baadhi ya...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Hivi kuna mtu aliwahi pata mwanamke mtandaoni kama Facebook au instagram akadumu naye miaka hata miaka mitatu? Tuwape watu mrejesho na changamoto ulizokumbana nazo wakati ya mapenzi yenu na hiyo...
9 Reactions
174 Replies
17K Views
Wakuu nipo njia panda hapa sijui nifanye nini chuoni nilikua na mahusiano na binti wa kinyaturu Miaka mi3 lakni mwaka Jana nimemaliza namwambia twende kwao nikalipe mahari nilijikunjua mwanaume...
6 Reactions
95 Replies
8K Views
Umejitahidi kupiga picha za kuonyesha umbo lako kwa nyuma. Wanaume wamechuna. Umejitahidi kupiga picha huku umebusti kifua, wanaume wamechuna. Umejitahidi kupiga picha huku nguo yako ya ndani...
8 Reactions
39 Replies
4K Views
Kuna mtu niko naye hapa ananizunguka anachat na whatssup kisha zile message ana delete. Nahitaji kujua namna ya kuspy message zake kupitia simu yangu.
1 Reactions
82 Replies
15K Views
Wakuu kama mume mtarajiwa bora nianze mapema kupeleleza simu ya girlfriend Wangu kwa ajili ya kubaini upuuzi wa aiana yeyote, Kesho nitaenda nayo kazini.. Nimemaliza! Mwenye maoni kuniunga mkono...
4 Reactions
96 Replies
9K Views
Habari wanajamvii ni matumaini yangu mko salama na poleni na kadhia za kila siku, Niende moja kwa moja kwenye mada, ndugu mimi ni muhitimu wa chuo kikuu Moshi katika ngazi ya ( diploma)...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Jamani mpaka inaogopesha, wanawake walio kwenye ndoa (sio wote) sijui wanakumbwa na tatzo gani! Yaani ni warahisi mno kuwagegeda! Yaani ukishaonyesha kumjali, mpigie simu na kumtumia msg kumjulia...
4 Reactions
103 Replies
9K Views
Pale Professor anaposifia mapishi ya mkewe mpya, je huyo atakuwa na viwango vya elimu ya juu vya heshima katika nyanja za kupika? Pia, hivi kweli ana ubavu au ndio juice za avigra?
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…