MWANAMKE ACHA UBOYA HEBU SHTUKA!

Kanungila Karim

Verified Member
Apr 29, 2016
16,603
2,000

Umejitahidi kupiga picha za kuonyesha umbo lako kwa nyuma. Wanaume wamechuna.

Umejitahidi kupiga picha huku umebusti kifua, wanaume wamechuna.

Umejitahidi kupiga picha huku nguo yako ya ndani ikionekana, wanaume wamechuna.

Umejitahidi kuvipiga picha vikuku vyako miguuni wanaume wadate, lakini wamechuna.

Unaowapata ni wale wanaotaka kupiga na kusepa, sisi tunawaita Kick And Run! Wanakuchapa halafu wanakimbia.

Umehangaika vya kutosha, halafu wanaokuja kuolewa, wale mbaumbau, hawana hata makalio, nyuma kama wamepigwa pasi, mpaka unajiuliza hivi huyu akikaa si mifupa ya makalioni inauma, ila maboi ndiyo haohao wanawavarisha pete huku tukisema wale wenye makalio, wenye kupiga picha huku wakituonyeshea makalio watakuwa mahawara tu, tunapiga halafu tunasepa kibishi.

Ushapigwa na wangapi baada ya kuanza kupiga picha hizo? Nani aliyekwambia anataka akuoe, tena ile siriazi? Kuna mtu alikwishaleta barua kwenu kutaka kukuoa? Kama hakuna, kwa nini unapoteza muda kutuonyeshea makalio na wakati tunayaona mengi tu? Kwa nini unatuwekea kifua kilichobustiwa na wakati tunakiona kwa wengi?

Kesho unalalamika wanaume wanatutenda! Wanaume wanafanana! Ni walewale tu! Hivi kuna mwanaume mjinga kiasi cha kumuoa mwanamke mwenye kupiga picha wowowo ili lionekane? Hakuna mwanaume mjinga wa hivyo! Ukifanya hivyo, sisi wanaume hatuna hiyana bhana! Tunakuvutia waya, tunaongea na wewe, tunaonana, tunapiga halafu tunasepa, kesho tumamuoa Husna, yule mdada ambaye kila siku akiweka picha kajifunika hijabu, kavaa kiheshima. Kesho tunamuona Magreth, yule msichana ambaye nguo zake za vitenge, ndefu kama kanzu, halafu wewe tunakuacha huku tukisema "Yule nishapiga....yule nishapiga...yule hana kitu, wowowo la bure tu hawezi kulitumia....yule kule mikwara mingi, kile kifua kimebustiwa, kitu ndala, kinasimama akiinama tu...." si unajua wanaume tunavyojua kuwadharau wanawake wa hivyo!

Usipoteze muda dada yangu, hebu jiulize umekwishawapata wangapi wenye msimamo wa kukuoa? Kama hakuna, basi jua kwamba kumbe kupiga picha na mgongoni kuonyesha kalio haisaidii bhana zaidi ya kuwapata watu wa kukick and run...tafuta njia nyingine.

Vinginevyo! KARIBUNI MAGETONI.

Nawapenda sana dada zangu ndio maana nimewashauri! Usije kupewa mimba halafu baba akasepa ukabaki peke yako unalea mwanao anayekosa malezi ya baba.

Credit: Nyemo Chilongani
 
safuher

JF-Expert Member
Feb 11, 2019
6,253

Write your reply ..ASANTE KWA TAARIFA
 
Khantwe

JF-Expert Member
Dec 20, 2012
52,965
2,000
Wanaume bwana...kinachowasumbua ni kwamba mnawatamani sana hao wanaobinua matako, mnatamani mngewaoa hao ila mnaogopa macho ya watu. Mnaoa vijuso kwa shingo upande ndio maana hamuachi kuwakodolea macho hao wanaotembea nusu uchi huku mkijisifia kuwasaliti hao mliowaita wa heshima na kwenda kuchepuka na hao kwa sababu ndio hao mnaowatamani, ndio maana mkiwaona roho zinawatoka...mnatamani wangebadilika waishi kama mnavyotaka ninyi ila ndio maisha waliyochagua usitake mtu abadili mfumo wa maisha yake kwa maslahi ya kwako wewe
#nohardfeelings

Sent using Jamii Forums mobile app
 
safuher

JF-Expert Member
Feb 11, 2019
6,253
2,000
Kwani wao wamekuambia wanapiga picha ili waolewe?

Je kama wanapiga picha kama hobby yao.

Kwanini tunaona kama kuolewa ni achievement fulani kwa mwanamke. Nani alianzisha huu upuuzi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Soma uzi vizuri mkuu,mbona ameeleweka?

Yeye kasema kwamba huyo mwanamke anaepiga picha makalio mwisho wa siku ataanza kulalsmika ooh mara haolewi mara wanaume wasaliti.ssasa akisema hivi huoni kama anahitajia kuolewa? Au wewe unamtetea mwanamke wa aina hiyo?

Ila ikitokea wapo ambao hawana shida na kuolewa hao wala hakuwagusia mtoa uzi,sliowagusia mtoa uxi ni wale ambao wanandoto za kuolewa wenyewe lakini hawaishi mitandaoni.
 
safuher

JF-Expert Member
Feb 11, 2019
6,253
2,000
Kumbuka kwamba "WANAUME HAWACHEPUKI KUTAFUTA TABIA NJEMA"
Wanaume bwana...kinachowasumbua ni kwamba mnawatamani sana hao wanaobinua matako, mnatamani mngewaoa hao ila mnaogopa macho ya watu. Mnaoa vijuso kwa shingo upande ndio maana hamuachi kuwakodolea macho hao wanaotembea nusu uchi huku mkijisifia kuwasaliti hao mliowaita wa heshima na kwenda kuchepuka na hao kwa sababu ndio hao mnaowatamani, ndio maana mkiwaona roho zinawatoka...mnatamani wangebadilika waishi kama mnavyotaka ninyi ila ndio maisha waliyochagua usitake mtu abadili mfumo wa maisha yake kwa maslahi ya kwako wewe
#nohardfeelings

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cole Williams

JF-Expert Member
Jun 1, 2016
33,966

Sio wanaume wote mkuu
 
safuher

JF-Expert Member
Feb 11, 2019
6,253
2,000
Yes wengi wanafuata maumbile na tamaa.akimuona mwanamke mzuri alafu nafsi yake ina tamaa hapo inakuwa ni petrol na moto.

Ila ukimuona mwanamke mzuri alafu ukawa huna tamaa basi utavumilia mkuu na yatapita.

Hakuna mwanaume anamtamani kuchepuka kimapenzi mwanamke asiyevutia alafu akawa anaTABIA NZURII.

Lakini wengi wanachepuka kwa mwanamke anayevutia kimapenzi hata kama asiwe na tabia kabisa tukiachilia hiyo tabia mbovu.
Kwahiyo mwanaume kuchepuka anafata nini? "mbinuko"?
 
safuher

JF-Expert Member
Feb 11, 2019
6,253
2,000
Sio wanaume wote mkuu
Mkuu kila mwanaume anatamani kuwa na mwanamke mzuri asiye na ukomo.

Lakini wengi wetu tukiwaona wanawake wanamaumbile kuwazidi wake zetu tunafadhaika sana na kupata mawazo kupelekea kuchepuka na kuwadharau wake zetu.

Kumbe lakufanya ni ku tune mind kwamba wanawake wazuri hawaishi,wapo kila siku na baada ya kuwaona njiani hatua chache mbele utawasahau kabisa.hivyo ni kujipotezea tu ukasema maisha yaendelee.

Lakini ukimuweka moyoni na kutaka kumpata kila mwanamke mzuri unayemuona basi hapo unautengenrzea moyo kumdharau mkeo.

Kumpenda mkeo ni mipango inayowezekana.
 
Black Angel

JF-Expert Member
Jun 11, 2015
532
1,000
ukweli ni huu

wanaume wote tunatamani kuwaoa hao wenye shepu za kike na sio hao wakina husna ulio wataja,,

hao wakina husna vimbau mbau tunaoa as second option baada ya kushindwa kuwapata kama huyo wa kwenye picha.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom