Jamami "wake" za watu ni majipu (sio wote)

Jamami "wake" za watu ni majipu (sio wote)

Charliemic

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2019
Posts
604
Reaction score
979
Jamani mpaka inaogopesha, wanawake walio kwenye ndoa (sio wote) sijui wanakumbwa na tatzo gani! Yaani ni warahisi mno kuwagegeda! Yaani ukishaonyesha kumjali, mpigie simu na kumtumia msg kumjulia hali, sijui umeshindaje, how was your day!? Umekula!? Nimekuona leo umependeza. Ukiyafanya haya ni rahisi saana kula mzigo.
Huko maofisini sasa ndio balaa tupu mwanamke anarudi na hasira kumbe amezinguliwa na mchepuko.

Sasa vijana wa dot com wanavyopenda kitonga sasa.
Wanaume mnaofanya hivi ni at your own risk.
 
Kweli mkuu siku izi tunaoa kupunguza makali ya maisha hayo tunayajua sema hamna namna.
Ushenzi wa kutembea na wake za watu nilishaukataa, lkn kama ningekuwa na interest ningewafyeka kuliko maelezo
 
Back
Top Bottom