pearson lembele
New Member
- Apr 13, 2018
- 2
- 2
Hivi wadau tunavyo sema upungufu wa nguvu za kiume ,hapa swala ni kutofikia mshindo Mara nyingi au kuto simamisha uume kwa muda mrefu, hebu tujadili hili tutabainishe
SanteeeeeeeeeeUpungufu wa nguvu za kiume ni pamoja na upungufu wa akili na kuwaza mambo yasiyofaa...
Kutosimamisha uume kwa muda mrefu ni ulegevu wa misuli ya uume...
Upungufu wa nguvu za kiume ni kutokua na uwezo wa kutia mwanamke mimba...
Cc: mahondaw

Siyo lazima kurudia tendo unaweza piga bao moja tu lefu lenye maufundi na mwanamke akakojoa hata Mara tatukusimamisha kwa muda mfupi na kushindwa kurudia tendo. yaani hapo nguvu kwishney babu j.