Kaniambia ananipenda baada ya kuolewa

Kaniambia ananipenda baada ya kuolewa

Dogo G

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2018
Posts
1,052
Reaction score
440
Wadau habari,

Husikeni na kichwa hapo juu kuna binti mmoja tulikuwa tunaishi naye mtaa mmoja..mimi nikiwa nimepanga na yeye akitokea kwao,sasa nnapotoka kazini mara nyingi nilikuwa napitia kwenye genge lao ambapo huuza bidhaa na mboga mbalimbali ili nikakorofishe kwasababu mimi ni bachelor na yeye alimaliza chuo cha afya upande wa maabara kutokana na uhaba wa ajira akawa anapoteza muda nyumbani.Kutokana na vile nlivyokuwa nakwenda mara kwa mara gengeni kwao tukatokea kuzoeana japo si saana hadi ikafikia kipindi akawa ananipa mboga kwa mkopo mpaka sometimez bure.

Licha ya yote sijawahi kumtongoza au kuzungumza nae utani wa kimapenzi.. Wiki mbili zilizopita ameolewa kwa harusi na jamaa mmoja tena kwa mahari kabisa..Kali ni Jana jioni mida ya saa moja nimetoka kazini ile kupita kwao namuona amekaa mlangoni kwao peke yake bila kuwepo mtu mwingine..nikamsabahi nikamtania kuwa amenawiri maisha yamemkubali akashukuru ila akaniomba aongee na mimi jambo..tukasimama upenuni mwa nyumba yao ambapo watu hawapiti akawa ananiambia alikuwa ananipenda sana ila alikuwa anashindwa kuniambia nisijemwona malaya.

Nimebaki mdomo wazi jamani tangu aniambie..hawa viumbe sijui wana shida gani..hivi nani alisema kupenda ni mwanaume tuu(kutoa ya moyoni)..na hii ndio tamaduni inayozidi kumaliza waafrika.Sasa ona kama huyu binti alishindwa kuniambia mpaka kaolewa ndio anasema kwahiyo mimi nianze kumla wakati ni mke wa mtu?

Kwa mwendo huu wake za watu wataliwa saana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuuu ameamua kutoa dukuduku la moyoni baada ya kuolewa, kazi kwelikweli.
 
Alikupa hadi mkopo wa mboga ila alisahau kukupa namba/kumpa namba ya kuulizia deni lake.

Muulize utanipa namba/utaniomba namba lini ili iwe rahisi kuulizia deni
 
Huyo alishaolewa huwezi kuwa nae
Alifanya makosa kutokuwa wazi mapema

Mimi kama nmempenda mtu kwa dhati toka moyoni nitavumilia nitashindwa mwishowe nitamwambia tu bila kujali atanichukuliaje .,kwani Ni dhambi!??? ,na hii hutokea Mara chache sana...kwa sababu najijua mtoto wa watu Sio Malaya mie...na Hadi nimemfata kumwambia nimeacha wote walionitongoza nikamfata yeye Basi ajue nampenda kwa dhati

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau habari,

Husikeni na kichwa hapo juu kuna binti mmoja tulikuwa tunaishi naye mtaa mmoja..mimi nikiwa nimepanga na yeye akitokea kwao,sasa nnapotoka kazini mara nyingi nilikuwa napitia kwenye genge lao ambapo huuza bidhaa na mboga mbalimbali ili nikakorofishe kwasababu mimi ni bachelor na yeye alimaliza chuo cha afya upande wa maabara kutokana na uhaba wa ajira akawa anapoteza muda nyumbani.Kutokana na vile nlivyokuwa nakwenda mara kwa mara gengeni kwao tukatokea kuzoeana japo si saana hadi ikafikia kipindi akawa ananipa mboga kwa mkopo mpaka sometimez bure.

Licha ya yote sijawahi kumtongoza au kuzungumza nae utani wa kimapenzi.. Wiki mbili zilizopita ameolewa kwa harusi na jamaa mmoja tena kwa mahari kabisa..Kali ni Jana jioni mida ya saa moja nimetoka kazini ile kupita kwao namuona amekaa mlangoni kwao peke yake bila kuwepo mtu mwingine..nikamsabahi nikamtania kuwa amenawiri maisha yamemkubali akashukuru ila akaniomba aongee na mimi jambo..tukasimama upenuni mwa nyumba yao ambapo watu hawapiti akawa ananiambia alikuwa ananipenda sana ila alikuwa anashindwa kuniambia nisijemwona malaya.

Nimebaki mdomo wazi jamani tangu aniambie..hawa viumbe sijui wana shida gani..hivi nani alisema kupenda ni mwanaume tuu(kutoa ya moyoni)..na hii ndio tamaduni inayozidi kumaliza waafrika.Sasa ona kama huyu binti alishindwa kuniambia mpaka kaolewa ndio anasema kwahiyo mimi nianze kumla wakati ni mke wa mtu?

Kwa mwendo huu wake za watu wataliwa saana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio Tamaduni ya Mwafrica . Tamaduni ya kutongoza 95%au zaidi duniani mwanaume ndio humtongoza mwanamke. Angalia hata kwenye mayoutube. Asilimia kubwa ya wanawake akikupenda atakutega. Sasa wewe ulifikiri unapewa mboga bure na wewe unachukua bila kusoma mchezo. We bado mtoto. Mimi nko Thailand ivi sasa. ni kawaida ya mwanaume kumtongoza mwanamke. Sio kawaida mwanamke kumtongoza mwanaume. Ila mwanamke kazi yake ni kutega mtego. Ukinasa unakuwa wake. Mwanamke anakutongoza mwanaume indirectly kama hauna akili basi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo alishaolewa huwezi kuwa nae
Alifanya makosa kutokuwa wazi mapema

Mimi kama nmempenda mtu kwa dhati toka moyoni nitavumilia nitashindwa mwishowe nitamwambia tu bila kujali atanichukuliaje ,na hii hutokea Mara chache sana...kwa sababu najijua mtoto wa watu Sio Malaya mie...na Hadi nimemfata kumwambia nimeacha wote walionitongoza nikamfata yeye Basi ajue nampenda kwa dhati

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona mimi uniambii sasa dadaa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom