Kwanini Wanawake wengi hupenda na husikia raha isiyo ya Kifani ( Kuliko ) wakiendesha Baiskeli kuliko Pikipiki na Gari?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
38,823
2,000
Naomba tu kujua kuna Siri gani iliyojificha katika Baiskeli hadi Wanawake wengi waseme huwa wanapenda, wanasikia raha ( wanakunika ) Kimwili na Kuchangamka zaidi wakiwa wanaendesha Baiskeli.

Kuna mmoja alisema tu juu juu kuwa wanapenda Kuendesha Baiskeli mara kwa mara kwakuwa Raha wanayoipata pale haina tofauti sana na raha wanazopata katika Baiskeli zingine zinazoumuka na kufifia Kisayansi ( Kimuundo ) ambazo pia zina ‘ Tochi ‘ moja ila iliyo ndogo sana ambapo sikumuelewa na nilipotaka ufafanuzi zaidi hakuwa tayari.

Nitashukuru nikihabarishwa zaidi juu ya hili ili name niweze kujua niagize Baiskeli nifanya Biashara nao.

Nawasilisha.
 
f de solver

JF-Expert Member
Feb 12, 2017
1,503

Sijaelewa kitu aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom