Dah mchepuko kaniletea zawadi kibao,manguo nin,af maskin hata simfeel yan,hii dhamb itanitafna

Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
10,087
15,960
Wakuu,wiki hii ilikua wik ya siku yangu ya kuzaliwa,mabint wameniwish nin,mi kiukwel katka vtu ambavyo hua vnanipita ni hii siku,huwaga namshukuru Mungu tuu then inapita,sasa hii ya sasa hiv.huyu dem ambae namchukulia sio rasm,anajituma sana,kupika,gemu nnavotaka,upole.yaan shez a perfect gf material kabsaa,

Sasa kaniletea mazawad,daah,nguo,viatu,saa,mi boxa kama yote daah had najifeel vbaya yan dah

Tatzo linakuja hata akilin mwangu hayupo yan..sasa nawaza hii dhamb itanitafuna

Yaan sjui nifanyeje

Uzi tayar wakuu ndugu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jaribu kuomba ushauri kwa Kapuya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ok
Screenshot_20190222-214310.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Brother! Una undugu au wewe ni mhaya?
Wakuu,wiki hii ilikua wik ya siku yangu ya kuzaliwa,mabint wameniwish nin,mi kiukwel katka vtu ambavyo hua vnanipita ni hii siku,huwaga namshukuru Mungu tuu then inapita,sasa hii ya sasa hiv.huyu dem ambae namchukulia sio rasm,anajituma sana,kupika,gemu nnavotaka,upole.yaan shez a perfect gf material kabsaa,

Sasa kaniletea mazawad,daah,nguo,viatu,saa,mi boxa kama yote daah had najifeel vbaya yan dah

Tatzo linakuja hata akilin mwangu hayupo yan..sasa nawaza hii dhamb itanitafuna

Yaan sjui nifanyeje

Uzi tayar wakuu ndugu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muambie ukweli,usipende kumpotezea mtu muda.Inawezekana kwa mtazamo wake,anajiaminisha ya kuwa ameshakuteka,kumbe ni bila bila.
 
Wakuu,wiki hii ilikua wik ya siku yangu ya kuzaliwa,mabint wameniwish nin,mi kiukwel katka vtu ambavyo hua vnanipita ni hii siku,huwaga namshukuru Mungu tuu then inapita,sasa hii ya sasa hiv.huyu dem ambae namchukulia sio rasm,anajituma sana,kupika,gemu nnavotaka,upole.yaan shez a perfect gf material kabsaa,

Sasa kaniletea mazawad,daah,nguo,viatu,saa,mi boxa kama yote daah had najifeel vbaya yan dah

Tatzo linakuja hata akilin mwangu hayupo yan..sasa nawaza hii dhamb itanitafuna

Yaan sjui nifanyeje

Uzi tayar wakuu ndugu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Chukua tu maana hata sisi huwa wanatula afu wanatuzungusha au kututosa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wanawake hawana we endelea kutafuna tu siku ukiona mipango yako imeisha hamia makaz mengine vaa tinted endelea na maishs yako
 
Ni vizuri ukawa mkweli kwake usipende kumpotezea mtu muda wake siku zote kweli humuweka mtu huru.
 
Back
Top Bottom