Kama umeoa, ukiwa unarudi nyumbani toa taarifa. Leo nusu nife

Mzee wa kusawazisha

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
1,587
1,136
Leo katika harakati zangu za mchana nimeenda kutafuta mkate wa siku ya ijumaa ili nile na mke wangu kipenzi nimezoea kurudi mida mibovu lakini Leo mambo yalikua tofauti nimerudi gafla bila kutoa taarifa.

Nakuta mlango upo wazi nimeingia ndani nakuta mgeni wa kiume nimefikia kusimama mlangoni baada ya kufunga mlango,,

Kabla ya kuuliza naambiwa mme wangu huyu ni kaka yangu mtoto wa shangazi amekuja kunitembelea akiambiwa na mama kule Kua Dada yako yupo mtaa m1.

Jamaa ikabidi aage fasta Maana alijua uwanja ungechafuka sekunde tu akasindikizwa akaondoka.
Namsubri mke wangu arudi aniambie vizuri kuhusu huyu mgeni..

Kama umeoa tafadhali toa taarifa unapotaka kurudi hawa wanawake sio kabisa utakuja kufa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tena ni vizuri hajajua ratiba zako.
Umefanikiwa kumjua mchepuko wake.
Sasa ni hiv huyo bibie akirudi.. awapigie ndugu zake tena ukiwa unasikia.. aulize kama huyo ni ndugu yao kweli au lah.
Leo katika harakati zangu za mchana nimeenda kutafuta mkate wa siku ya ijumaa ili nile na mke wangu kipenzi nimezoea kurudi mida mibovu lakini Leo mambo yalikua tofauti nimerudi gafla bila kutoa taarifa.

Nakuta mlango upo wazi nimeingia ndani nakuta mgeni wa kiume nimefikia kusimama mlangoni baada ya kufunga mlango,,

Kabla ya kuuliza naambiwa mme wangu huyu ni kaka yangu mtoto wa shangazi amekuja kunitembelea akiambiwa na mama kule Kua Dada yako yupo mtaa m1.

Jamaa ikabidi aage fasta Maana alijua uwanja ungechafuka sekunde tu akasindikizwa akaondoka.
Namsubri mke wangu arudi aniambie vizuri kuhusu huyu mgeni..

Kama umeoa tafadhali toa taarifa unapotaka kurudi hawa wanawake sio kabisa utakuja kufa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo katika harakati zangu za mchana nimeenda kutafuta mkate wa siku ya ijumaa ili nile na mke wangu kipenzi nimezoea kurudi mida mibovu lakini Leo mambo yalikua tofauti nimerudi gafla bila kutoa taarifa.

Nakuta mlango upo wazi nimeingia ndani nakuta mgeni wa kiume nimefikia kusimama mlangoni baada ya kufunga mlango,,

Kabla ya kuuliza naambiwa mme wangu huyu ni kaka yangu mtoto wa shangazi amekuja kunitembelea akiambiwa na mama kule Kua Dada yako yupo mtaa m1.

Jamaa ikabidi aage fasta Maana alijua uwanja ungechafuka sekunde tu akasindikizwa akaondoka.
Namsubri mke wangu arudi aniambie vizuri kuhusu huyu mgeni..

Kama umeoa tafadhali toa taarifa unapotaka kurudi hawa wanawake sio kabisa utakuja kufa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeachia kidhibiti kimeondolewa sasa utamkamatia wapi tena.Wanaume wengine ni mtihani kweli kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom