tatum
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 5,786
- 4,494
Naona kushamiri kwa biashara ya ngono dunia kwa mataifa mbalimbali huku wanunuzi wakiwa na Wanaume na wauzaji wakiwa ni wanawake.
- Ni lini biashara hii ilianza?
- Ilianza nchi gani?
- Na kwanini mwanaume alianza kununua ngono?
- Nani anafaidika na biashara ya ngono?
- Nini hasara ya biashara hii?
- Ni nchi gani biashara hii ni halali?