Habari za saa hizi.
Kwanza kabisa nikiri kuwa nishawahi kuja humu kutafuta kimwana ila ndo hivo mambo hayakuwa sawa. Kwanza kabisa nikiri kuwa nilipata kimwana ila hakuwa serious kabisaaa...
Kuna siku huku nilikuja kuomba ushauri nifanye nn baada ya kublockiwa na mtu niliyekuwa naye kwenye mapenz! Wengi walinishaur usimtafte nam sikumtafta tena!
Sas juzi usiku baada y kupita wki moja...
Wadau habarini za mchana.
Kuna tabia nimeigundua upande wa wadada. Nako ni ugumu wa kusema "Hapana nipo na Mtu ninampenda" unakuta mdada anakwambia anakupenda kweli lakini anaendekeza...
' Virusi ' vyenyewe hatari na vinavyoongoza kwa ' Kuachanisha ' Ndoa za Wapendao ( Watu ) ni hivi:
1. Mzazi wa Kike ( Mama yake Binti anayeolewa )......65%
2. Dada / Ndugu wa jinsia ya Kike ya...
Uswahili sasa ndo Kuna watoto wazuri kishenzi ila wamejificha.ukitaka kuwaona na kuwapata we njoo katika minada husika utajionea nachokwambia.Ratiba yenyewe hii hapa nimeikariri na Nina uzoefu wa...
Leo tunatongozana kwa lafudhi ya kilugha inavutia sana .Mchague member yeyote umpe mtongozo kwa lafudhi ya lugha yeyote.
Demiss navutiwa na mitongozo hii.
1.MSUKUMA
"Unajuaga Demiss moyo wangu...
Wadau wa JF za jioni.
Nafikiri it's safe kusema kwamba kibuti ndo nishapigwa, japo cha kimya kimya, nimejiongeza kusoma alama za nyakati, na ukizingatia mzigo ndo alishachukua mhh sina jipya tena...
Wanajamvi naombeni ushauri nasaha hapa.....kuna tatizo lolote la kibiolojia kama mwanaume akioa mwanamke aliyemzidi umri??
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu yangu mmoja ambaye amepata kuhudu katika bank kwa miaka karibu 10 hivi nilikiwa napiga naye stori za hapa na pale. Katika mazungumzo yetu mimi nilichombeza kwamba kiukweli binafsi natamani...
.....Mko Busy kutumia Maperfume ya Aina mbalimbali as well as mafuta makali makali. Ili kukata Shombo Ya PAPUCHA.
...DAH hapa Ndo Mnafell Sisi wadau Tunaipenda Sana Hii shombo, Msiikate...
Katika kupitia pitia masuala ya ndoa mitandaoni nikakutana na hii kwamba ndoa kati ya mwanaume mrefu na mwanamke mfupi hua ndio ndoa zenye furaha zaidi na kua bora.
Binafsi sijui kama ni kweli au...
Moja ya jaribu kubwa kwa mtu aliyeamini kumpenda Mungu ni pamoja na kuacha uzinzi mbali na uovu mwingine wote; ila changamoto inakuja ni vichocheo vya mwili vipo juu sana; mfano mimi siwezi kukaa...
Hello Jf family
Niruhusu nijikite kwenye hoja ya msingi.
Mimi ni mme wa mke mmoja. Ninaishi mkoa X ambao si asili yangu ila ndipo ilipo asili ya mke wangu.
Kwa mkutadha huo, interaction ya...
Jini mahaba ni tatizo kubwa kupelekea ndoa zetu kuvunjika kila kukicha, Jini mahaba huwakumba wanawake kwa asilimia 73 mpaka 80.
Kule visiwani wanawake asilimia 92 wanamajini, wenye majini mahaba...
Wasalaaam,
Hii inatuhusu wanaume tuu, hivi ulishawahi kuhisi wivu kwa mchepuko? yan unajua kabisa kuwa yule mwanamke namgonga tu afu bhaaas, ila ukisikia amegongwa na mwingine unaumia?
Mana...
Siku hizi kumekua na wimbi kubwa sana la vijana wadogo kupoteza Maisha tofauti na miaka ya zamani kwamba tulizoea kuona wazee tena wenye umri mkubwa ndio wanakufa kwa wingi
Mimi mwenyewe...