Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kama una mtoto au mdogo wa kike utanielewa vizuri, Hivi viumbe vikishatumbukia kwenye mapenz na vikazama haswaa huwa ni mabwege kweli kweli, Huwa wapo tayari kutoa chochote ili aendelee kuwa na...
12 Reactions
87 Replies
8K Views
Habari zenu wapendwa, zali limendondokea nimegongewa visa ya mwaka mzima kwenda kwa Obama. Hapa nilipo niko on transit mitaa ya dubei kwa waarabu wa wese. Sasa bana hii ndo mara yangu ya...
11 Reactions
245 Replies
23K Views
Kuna wimbi la wake za watu kujirahisisha kwa wanaume nashindwa kufahamu nini tatizo au ndio wanajutia ndoa wanaamua kuja kutafuta faraja nje ya ndoa au ni umalaya maana wengine wanatimiziwa kila...
2 Reactions
42 Replies
5K Views
Sikuizi wanawake wamekuwa wachache kuliko wanaume Ndomana wanalinga sana, hata kuolewa hawataki Wanachagua wanaume Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Nahitaji mpenzi na msaidizi wa maisha Nimekulia maisha ya mahangaiko..nahitaji mtu wa kunitoa upweke na huzuni nliyonayo. Nahitaji kutulia nami Naitaji wa kunishika mkono nitoke hapa nilipo...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Ukiwa na gari ukipita Tu maeneo unakutana na mtoto mkali anakushobokea.mfukoni una KAMA laki.unamchukua mnaenda Lodge chumba kikali kama na ye mtu wa kutupia vinywaji unamuagizia POMBE laini...
7 Reactions
20 Replies
3K Views
Kuna Mtu naona ananilazimisha Mwenyezi Mungu azidi Kuniandika katika Kitabu chake cha ' Black Book ' kwa Watu ambao wana dhambi nyingi sana na watatakiwa Kutangulia katika Kuchomwa Moto mbele ya...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Mapenzi ndiyo yamebeba Siri za wewe kufanikiwa.unaambiwa kosea kote usikosee Kwenye kuoa.mwanamke mzuri atakupenda jinsi ulivyo.mwanamke anaweza kukubadilisha kimawazo,ila usioee zezeta...
9 Reactions
53 Replies
6K Views
Habari zenu, natumai mchana wenu umeenda sawia kabisa. KIchwa cha uzi kinajieleza japo nimepata changamoto namna ya kuandika kichwa cha uzi maana najua kuna wataokuwa na maana yao. Lengo la uzi...
5 Reactions
228 Replies
15K Views
Ni dalili gani huwa zinatokea baada ya utungisho wa mimba baada ya wiki moja? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
8 Replies
10K Views
Heey People.... Holla..... Missed you all, a bit. Leo sijui ntalalaje maana vile vimeng'enywa kwenye mwili wangu vinanipeleka.... basi tuu Mungu anajua... I want to give him some good, good...
6 Reactions
44 Replies
4K Views
Habari wana MMU. Acha niende moja kwa moja kwenye mada bila kuwachosha, niwashukru uongozi mzima kwa kuanzisha jukwaa la love connect, maana mmekuwa msaada katika kundi fulani.. Maana binafsi...
7 Reactions
39 Replies
4K Views
Nimeamua kuileta hii mada makusudi kwenye jukwaa la MMU sababu japo inahusu ujasiriamali, pia inahusu pia mahusiano ya jinsia hizi mbili yanavyofanikisha au kukwamisha ufanisi kwa mwanamke wa...
6 Reactions
40 Replies
12K Views
Hivi kwanini wasichana baadhi wa hili jiji ukiwa na urafiki nae wiki tu mama yake ankufa gari inahitaji service rent imeisha shangazi anaumwa baba kafukuzwa kazo yeye ndo anategemewa na...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Alama za kunyimwa nyamunyamu: 1. Ukilala kwa mke ama binti kisha alale na jeans, kaka jitoe uende kwako. 2. Akitoa bible ama quran akuambie muombe kabla mlale, fahamu hutaona V, enda kwako. 3...
1 Reactions
20 Replies
7K Views
Nyakati zinabadirika sana; misimamo, tamaduni na mitindo ya maisha sio kama vile ilivyokuwa miaka 50 iliyopita. Kama nitakuwa sijakosea, naamini zaidi ya 85% ya wajomba na shangazi zetu, baba na...
10 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa wale vijana wenzangu wa KURYA, mnafahamu challenges za hawa watoto tunavyokuwa tunawapproach baada ya kuwa wamejua kabila letu. eti utasikia... - "ooh wakurya ni wakorofi" - "ooh wakurya...
7 Reactions
222 Replies
17K Views
....."If you can get free milk, why keep a cow?..." Habari wakuu, Nia na dhumuni la uzi huu sio kupinga mahusiano ya ndoa au kuwacrash ambao wanategemea kufunga ndoa. Katika pita pita zangu, I...
12 Reactions
59 Replies
4K Views
Sio kweli Kwamba msichana ukimtoa usichana wake basi ndio atakupenda saana kwa dhati kiasi kwamba hata kama akija kuolewa na mwanaume mwingine hatakusahau. Nimegundua unasahaulika vizuri tu tena...
1 Reactions
25 Replies
6K Views
Kwa watu ambao hawajawahi kufanya ili tukio pole yao sana. Kuna kupindi kwenye maisha lazima upitie. Hiki ni kipindi cha kubalehe na mara nyingi wengi wanatoana bikra wakati huu. Raha ya jambo...
1 Reactions
13 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…