Binti amekataa uchumba na mimi, kisa kabila langu

Binti amekataa uchumba na mimi, kisa kabila langu

Financial Analyst

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2017
Posts
2,384
Reaction score
5,619
Kwa wale vijana wenzangu wa KURYA, mnafahamu challenges za hawa watoto tunavyokuwa tunawapproach baada ya kuwa wamejua kabila letu.

eti utasikia...

- "ooh wakurya ni wakorofi"

- "ooh wakurya wanapiga wake zao"

The fact ni kwamba, kama mwanaume ana mkono wa kukupiga au uwezo kukupa wakati mgumu, haijalishi atakuwa ni wa kabila gani..

mfano:

1.SOUTH AFRICA: mamphista aliyempiga baby wodumo ni mkuryaaa??!

2.USA: Jonny depp aliyempiga amber heard ni mkurya??!

3.UK/USA: stephen belafonte aliyempiga mel b ni mkurya??!

ETC....

Tukianza kuchambua wenzi kutokana na makabila yao hakuna atakaye baki salama...ndiyo naelewa kuna negativities mbali mbali ambazo zimeacha marks katika makabila yetu, lakini haimanishi sio kila mtu anabeba hizo negativities zote.

Muda mwingine unakuta tu kabinti kameona hauna pesa za kutosha, hauna uwezo anao utaka yeye au kigezo kingine anachotaka yeye...anaamua kuja na kisingizio cha kabila.

"IT IS BETTER TO RISK SAVING A GUILTY MAN THAN CONDEMN AN INNOCENT ONE."

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itabidi utafute wa kunyumba kaka huyo mwenye masharti ya kabila asubiri kabila lake aje amuoe
 
Mkuki kwa nguruwe mbona mnasemaga wachagga hawafai kuolewa na wamekaa kimya wanapambana na kabila lao??? Pambana na kabila lako bro mi mwenyewe mademu wananiambiaga wahaya tuna tabia mbaya so na mimi na pambana na kabila langu na sioni tabu kumwambia mtu kwamba mimi ni muhaya kama hataki asepe tu.
 
Hakuna mwanamke asiependa kupigwa.....ila inategemea kipigio unachutumia, mfano kuna wanaopenda kupigwa na pesa, kuna wengine wanapenda kupigwa na dudu, sasa kama nyie mnawapiga mangumi itakuwa ngumu kdg
mwanaume yoyote anaweza kumpiga mwanaume kwa mangumu na mateke..haijalish ni wa kabila gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuki kwa nguruwe mbona mnasemaga wachagga hawafai kuolewa na wamekaa kimya wanapambana na kabila lao??? Pambana na kabila lako bro mi mwenyewe mademu wananiambiaga wahaya tuna tabia mbaya so na mimi na pambana na kabila langu na sioni tabu kumwambia mtu kwamba mimi ni muhaya kama hataki asepe tu.
ahsante kaka... umeni-motivate sanaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuki kwa nguruwe mbona mnasemaga wachagga hawafai kuolewa na wamekaa kimya wanapambana na kabila lao??? Pambana na kabila lako bro mi mwenyewe mademu wananiambiaga wahaya tuna tabia mbaya so na mimi na pambana na kabila langu na sioni tabu kumwambia mtu kwamba mimi ni muhaya kama hataki asepe tu.
Wahaya na wachaga sizan kama kuna sehem hayakubaliki... Kwanza yamezoeleka... Labda inakuwa ngumu kwa wale wa machame
 
Back
Top Bottom