Wasichana wa dar

Wasichana wa dar

Selwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2010
Posts
671
Reaction score
702
Hivi kwanini wasichana baadhi wa hili jiji ukiwa na urafiki nae wiki tu mama yake ankufa gari inahitaji service rent imeisha shangazi anaumwa baba kafukuzwa kazo yeye ndo anategemewa na familia...yani nimekutana na wadada watatu wote hivi hivi...na wengine wameolewa... sielewi elewi ata kama kuchuna mbona hamna ata aibu jamani au ndo umjini? Na wengne wana majina makubwa kweli
 
Umesahau birthday zao ni karibu kila mwezi.
Hivi kwanini wasichana baadhi wa hili jiji ukiwa na urafiki nae wiki tu mama yake ankufa gari inahitaji service rent imeisha shangazi anaumwa baba kafukuzwa kazo yeye ndo anategemewa na familia...yani nimekutana na wadada watatu wote hivi hivi...na wengine wameolewa... sielewi elewi ata kama kuchuna mbona hamna ata aibu jamani au ndo umjini? Na wengne wana majina makubwa kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo unatafuta watu weny status kubwa kwaiyo kubali kuumia kama unataka uenjoy tafuta watu wakawaida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaaaaan acha tu mkuu. Wana matatizo hao.
Mwanzoni nilidhani ni kawaida. Nikalipa kodi, nikalipa umeme , maji.. halaf chumba anaishi yeye.
Sasa kituko ni kuwa kila ninapoonyesha kumudu ulipaji wa huduma..
Nazid kuongezewa na zingine. Ilifika mahali nikamwambia mama koma kabisaaa..

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahaha polee mkuu.

yaani hao mimi nawatakaga sana sijui kwanini sijapata bahati hiyo yaani huyo demu wangu angeshangaa angejikuta familia yao yote wanapata mimba wakati mmoja yaani hakuna amae angebaki wote mimbaaaaaa
 
Hahaha ungewateketeza wote. Omba omba sana yaani. Si wote lakin hawa wenye tabia hiyo ndio wamejaa.
Shida inakuja majuku ya mzaz wake unahamishiwa ww.. hapo mahari hujatoa..
yaani hao mimi nawatakaga sana sijui kwanini sijapata bahati hiyo yaani huyo demu wangu angeshangaa angejikuta familia yao yote wanapata mimba wakati mmoja yaani hakuna amae angebaki wote mimbaaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida inakuja majuku ya mzaz wake unahamishiwa ww.. hapo mahari hujatoa..
ndiyo maana nasema wote wangebeba mimba zangu tena kwa wakati mmoja maana kama huyu demu yuko na mimi inamaana na wao wako na mabwana zao sasa mimi nitachukulia kuwa na mimi wananitaka kwahiyo nitajilia kiulaiiiniii nakuwaachia chata langu
 
Back
Top Bottom