Huu ndo ukweli acha niuseme

Gluk

JF-Expert Member
Mar 23, 2017
1,856
2,955
Habari wana MMU.
Acha niende moja kwa moja kwenye mada bila kuwachosha, niwashukru uongozi mzima kwa kuanzisha jukwaa la love connect, maana mmekuwa msaada katika kundi fulani..

Maana binafsi naamini walioko humu JF ndo wale wale tulionao mtaani.
pili naamini kuwa mapenzi huanzishwa popote pale.
Ila leo naomba niseme wazi bila kupepesa macho kuwa wale wote wanaotafuta wapenzi mtandaoni wana kasoro nyingi kuliko mazuri yao.
Siamini kama kijana ambaye ni mfano wa kuigwa katika jamii inayomzunguka, mwenye maadili mema, tabia njema mcha MUNGU anaweza kukosa mke/ mume katika jamii inayomzunguka mpaka kutafuta mtandaoni.

Hivi kweli ukose katika makundi haya.
Unaosali nao, uliosoma nao,wafanyakazi wenzako, marafiki zako na jamii inayokuzunguka utafute usiyemjua?

Na ndo maana mara nyingi hata humu wanaotafuta wenza wengi wao umri unakuwa umewatupa mkono,single mother au waliokosa mke/mume sabb ya tabia zao na ndo sabb huja humu kwa ID mpya.

Kijana mwenzangu nachoweza kukushauri ni kubadili muenendo wako wa maisha unayoishi ili sifa zako ziweze kumvutia kila kijana anayesimama mbele yako..

NB: sijawaongelea wale walionza kama marafiki humu na baadae kuwa wapenzi.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
joanah , when I was deleting it they asked me for a reason. I told them you told me to delete it. I hope that's OK
 
joanah , when I was deleting it they asked me for a reason. I told them you told me to delete it. I hope that's OK

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Kama umewapa hiyo sababu wakaikubali kufuta basi ni sawa
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Kama umewapa hiyo sababu wakaikubali kufuta basi ni sawa
Of course I did, and you seem to be so famous in here as they never argued and deleted it straight away! Thanks much

Name a thing and I will do it (believe me)
 
Nimeamini umeifuta kweli mkuu

Sasa ungeenda jukwaa lenu la wageni kule
Why would I be a liar?? You asked me to delete it and I did, now you are telling me to shift to other forum, can you please be so kind and let me stay in this forum please??
 
Mtag moderator mmoja wapo kisha mtukane tusi kubwa kubwa
Kama lipi hilo tusi?? sorry lady, you are not being real here! I guess you are a good girl/lady and you don't have to be like this.

If you insist, I will do it cute.....
 
Back
Top Bottom