Huwezi kufanikiwa bila mapenzi

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
20,162
46,592
Mapenzi ndiyo yamebeba Siri za wewe kufanikiwa.unaambiwa kosea kote usikosee Kwenye kuoa.mwanamke mzuri atakupenda jinsi ulivyo.mwanamke anaweza kukubadilisha kimawazo,ila usioee zezeta atakupoteza.unaweza ukafanya Jambo kubwa kwa ajili ya interest za familia,au kijiji ukasomea Kijiji.lakini yote tunafanya kwa sababu nyuma ya mwanaume Kuna mwanamke
 
Mungu hawezi kukupa vyote zaidi ya 50% waliofanikiwa maisha walikosea kuoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mapenzi ndiyo yamebeba Siri za wewe kufanikiwa.unaambiwa kosea kote usikosee Kwenye kuoa.mwanamke mzuri atakupenda jinsi ulivyo.mwanamke anaweza kukubadilisha kimawazo,ila usioee zezeta atakupoteza.unaweza ukafanya Jambo kubwa kwa ajili ya interest za familia,au kijiji ukasomea Kijiji.lakini yote tunafanya kwa sababu nyuma ya mwanaume Kuna mwanamke
Badili title kuwa hakuna mafanikio kuwa "bila baraka za Mungu hakuna mafanikio yoyote kimaisha"

Mungu ndiye atakupa Mke Mwema na atakubariki ktk yote.

"Time is wealthy when it's timed consecutively"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom