kombaME
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 2,115
- 2,820
Kama una mtoto au mdogo wa kike utanielewa vizuri, Hivi viumbe vikishatumbukia kwenye mapenz na vikazama haswaa huwa ni mabwege kweli kweli, Huwa wapo tayari kutoa chochote ili aendelee kuwa na mwanaume aliyempagawisha, kama mwanaume wake anataka hela wanaweza kuiba au hata kukopa wapeleke. Anaweza kufukuzwa au kuambiwa hatakiwi lakin bado atang' ang'ana na kama mwanaume mjanja na akajua jinsi ya kwenda nao sawa anaweza kuwafanya kama msukule wake kabisa, wanatii kila kitu wakishazama kwenye dimbwi la mahaba.
Hata wadada wa humu wanaojifanya wajanja, hamna kitu..yupo tu mwanaume ambaye amekamatika kwake na anaishi kama msukule, hajaolewa lakn anashinda kwake, anafua, anapika na kila kitu.. mama ake mzazi aliyemzaa akijaribu kumkanya anakwenda kwa mwanaume wake analala kifuani pake na kutoa malalamiko kwa kile anachofanyiwa na mama yake mzazi, kidume ndo kinatoa malekezo nini kifanyike, mwanaume asiyetambulika hata kwa wazazi wake anakuwa juu zaidi ya mama yake mzazi.
Wanawake wote wapo hivyo, sema ni suala la muda na mwanaume aliyekuwa naye anamtosheleza vipi hisia zake na kumzamisha kwenye tope la mahaba hadi kumfanya awe chizi kabisa, na aache kutumia ubongo badala yake atumie moyo yaani hisia. Inaweza ikachukua miezi au miaka lakin mwanaume yoyote akiwa na akili vizuri na akiamua kumfanya mwanamke wake msukule anaweza, Kikubwa tu atosheleze hisia zake.
Hivi, viumbe usiviamin, vinatetea sana haki za hisia zao kuliko ukweli unaotoka kwenye akili zao. Hata akiwaje akishapatiwa na kutoshelezwa kihisia katika mapenzi basi yupo tayari kufanya lolote ili kumlinda yule mwanaume anayetosheleza hisia zake..
TUISHI NAO KWA AKILI MAANA NI VIUMBE DHAIFU.
Sent using Jamii Forums mobile app