Hizi ndizo dalili za kunyimwa 'utamu' na mwanamke

Mchezaji

Member
Oct 5, 2018
42
38
Alama za kunyimwa nyamunyamu:
1. Ukilala kwa mke ama binti kisha alale na
jeans, kaka jitoe uende kwako.
2. Akitoa bible ama quran akuambie
muombe kabla mlale, fahamu hutaona V, enda kwako.
3. Mkilala akutandikie godolo kando ile imechapa, husikubali kulala, enda kwako!
4. Akikuambia usimguze
ama kumuekelea mguu, elewa
ushanyimwa, toka na usiwai kurudi.
5. Akianza kukuambia wewe nikama ndugu kwake, Aisee tafuta hela urudi kwako.
6. Akikuambia atakupeleka ulale kwa jirani, wewe ni ule guy, ni late lakini enda kwako.
7. Jamaa wake akimpigia waongee for two hours mkiwa
godoloni hadi anacheka sana, walai huwezi
pewaaa, tembeza.
8. Akichukua pad aende
bafuni, Alaa unangoja
confirmation letter ama? husiwe bwege!
9. Ukimshika mara
ya kwanza akuambie atakufunza, unangoja nini?, kimbiaaaaa
10. Akikupa
blanketi yako, yeye ajifunike bedsheet, kua mbongo halisi
umrudishie blanketi yake na utoke, wewe si kondo.
11. Ukiskia anapigia rafikiake ajee akusalimie, jua huo ni ulinzi, haga mbio na urudi kwako bila kuangalia nyuma.
 
Nipo naye hapa bado kuona hizo dalili nasubiria.
IMG_20190108_145911.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alama za kunyimwa nyamunyamu:
1. Ukilala kwa mke ama binti kisha alale na
jeans, kaka jitoe uende kwako.
2. Akitoa bible ama quran akuambie
muombe kabla mlale, fahamu hutaona V, enda kwako.
3. Mkilala akutandikie godolo kando ile imechapa, husikubali kulala, enda kwako!
4. Akikuambia usimguze
ama kumuekelea mguu, elewa
ushanyimwa, toka na usiwai kurudi.
5. Akianza kukuambia wewe nikama ndugu kwake, Aisee tafuta hela urudi kwako.
6. Akikuambia atakupeleka ulale kwa jirani, wewe ni ule guy, ni late lakini enda kwako.
7. Jamaa wake akimpigia waongee for two hours mkiwa
godoloni hadi anacheka sana, walai huwezi
pewaaa, tembeza.
8. Akichukua pad aende
bafuni, Alaa unangoja
confirmation letter ama? husiwe bwege!
9. Ukimshika mara
ya kwanza akuambie atakufunza, unangoja nini?, kimbiaaaaa
10. Akikupa
blanketi yako, yeye ajifunike bedsheet, kua mbongo halisi
umrudishie blanketi yake na utoke, wewe si kondo.
11. Ukiskia anapigia rafikiake ajee akusalimie, jua huo ni ulinzi, haga mbio na urudi kwako bila kuangalia nyuma.
Enheee...na hii ni kiswahili ya kichochoro gani hapa mjini ili nipige mbio?
 
Back
Top Bottom