Hayhariohay
Member
- Mar 2, 2019
- 11
- 12
Wakuu habari zenu nimekuja kwenu kutaka ushauri mimi nina miaka 23 kuna demu nimetokea kumpenda hilo haikuwa nowma kimbembe kilianza pale mwanaume nilipoamua kumwambia hisia zangu alikuwa na maongezi ya kawaida lakini kuna jamaa akamtongoza ndipo alipoamua kunichafua matusi hayo anayoongea huko ni noma waungwana naombeni ushauri nifanyeje?