MeinKempf
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 11,094
- 7,225
Katika kudadisi na kuperuzi limenijia Wazo la kutaka kujua asili, maana na sababu za wanandoa kuvaa Pete kwenye kidole chake baada ya kufunga ndoa Hasa ndoa za kikristo na imani nyinginezo kama za Asia.
Je kuna umuhimu wa kufanya hivyo?
Kwanini isiwepo alama nyingine kama kuchora tatoo kama lengo ni utambulisho kuwa Uko na mwenza wako.(maana Pete Inaweza vuliwa fasta).
Je kuna umuhimu wa kufanya hivyo?
Kwanini isiwepo alama nyingine kama kuchora tatoo kama lengo ni utambulisho kuwa Uko na mwenza wako.(maana Pete Inaweza vuliwa fasta).