Kuna wakati akili hufanya kazi baada ya kutenda

Zamaulid

JF-Expert Member
May 25, 2009
17,908
2,000
Ilikuwa 90's nilizama chumbani kwa binti nipige mzigo,huyo binti tulikuwa tunasoma naye secondary. Basi bana zile wanazosema za mwizi arobaini ndo zilikuwa zimetimia. Kabla sijaanza kupiga mzigo nikawa nimepewa chakula nakula!mara paaa baba wa binti akapiga hodi anataka kuja kuchukua kitu kule ndani kwa binti,tulichenganyikiwa kwa muda...nikaingia uvunguni nikatulia tuli!dingi kaingia kafanya yake wakati anatoka akashitukia kuna chakula mezani ambacho kinaonekana kilikuwa kinaliwa!mshua akamuuliza nani yupo humu? binti kimya...akatishiwa kupigwa kibao...akafunguka kila kitu hadi siku hiyo ilikuwa ya ngapi kuingia chumbani...niliishiwa nguvu...mzee akaniamru nitoke uvunguni, kwanza nikajifanya sisikii akarudia mara ya pili tatu...ikabidi nisalende..."natoka...nilikuja kuazima daftari"kilifuatia kipigo heavy cha mkanda wa jeshi...nilipopata upenyo nilitimua mbio nikiacha shati na viatu...tukio hili nikilikumbuka huwa naona akili ilifanya kazi baada ya kutenda!we uliwahi kutenda lipi ambalo unadhani hukuwa umeishirikisha akili ipasavyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoboa siri

Member
Mar 11, 2019
87
150
Ilikuwa 90's nilizama chumbani kwa binti nipige mzigo,huyo binti tulikuwa tunasoma naye secondary. Basi bana zile wanazosema za mwizi arobaini ndo zilikuwa zimetimia. Kabla sijaanza kupiga mzigo nikawanipewa chakula nakula!mara paaa baba wa binti akapiga hodi anataka kuja kuchukua kitu Kyle ndani kwa binti,tulichenganyikiwa kwa muda...nimaingia uvunguni nikatulia tuli!dingi kaingia kafanya yake wakati anatoka akashitukia kuna chakula mezani ambacho kinaonekana kilikuwa kinaliwa!mshua akamuuliza nani yupo humu? binti kimya...akatishiwa kupigwa kibao...akafunguka kila kitu hadi siku hiyo ilikuwa ya ngapi kuingia chumbani...niliishiwa nguvu...mzee akaniamru nitoke uvungi, kwanza nikajifanya sisikii akarudia mara ya pili tatu...ikabidi nisalende..."natoka...nilikuja kuazima daftari"kilifuatia kipigo heavy cha mkanda wa jeshi...nilipopata upenyo nilitimua nikiacha shati na viatu...tukio hili nikilikumbuka huwa naona akili ilifanya kazi baada ya kutenda!we uliwahi kutenda lipi ambalo unadhani hukuwa umeishirikisha akili ipasavyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ulikuwa unaongozwa na kichwa cha chini, kichwa cha juu kilizidiwa kikaamua kuserender kuachia kichwa cha chini kifanye kinavyotaka. Ogopa sana hali hiyo ikikuta unaweza kupatwa na jambo baya sana.

Democracy means that Domo kiasi
 
Zamaulid

JF-Expert Member
May 25, 2009
17,908
2,000
Hapo ulikuwa unaongozwa na kichwa cha chini, kichwa cha juu kilizidiwa kikaamua kuserender kuachia kichwa cha chini kifanye kinavyotaka. Ogopa sana hali hiyo ikikuta unaweza kupatwa na jambo baya sana.

Democracy means that Domo kiasi
Yaani kichwa cha juu kikizidi ni hatari sana...unakuja kutumia akili tayari mlupo ushajiselfisha na kombati zako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbwa dume

JF-Expert Member
Jan 15, 2014
3,587
2,000
Mie nakumbuka miaka hiyo tumezamia gheto walipopanga madada wawili wanafunzi wa secondary usiku wa saa 5 tukiwa na rafiki yangu halafu mademu nao wawili mtu na rafiki yake Mara ghafla wajanja wakatufungia makufuli kwa nje.!
Halafu wakatoa raarifa kwa wazazi wa binti , kwa waalimu na pia wakaripoti polisi ikaamliwa wasitufungulie mpaka asubuhi polisi wafike na waalimu pia wazazi wawepo!
Huo usiku sintousahau katika maisha yangu maana tulitafuta kila mbinu ya kutoka humo ndani usiku huo ilishindikana madirisha yana nondo wenye kulia walilia nilisali sala ambazo sikuwahi kusali ili labda utokee muujiza kama wa Paulo na Sila walipokuwa gerezani lakini ilishindikana!
...Kwa leo acha tu niishie hapa ntaileta hii habari siku moja.
Ila wewe jamaa uliyetufungia siku hiyo Mungu anakuona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zamaulid

JF-Expert Member
May 25, 2009
17,908
2,000
Mkuu hamkuwa hata Na simu muwapigie washikaji!

interlacustrineregion

JF-Expert Member
Oct 28, 2018
7,127
2,000
"Usilitaje bure jina la Mungu wako" KUTOKA 20 AMRI YA 3.

"Time is a wealthy when it's timed consecutively"

Sent using Jamii Forums mobile app
Mie nakumbuka miaka hiyo tumezamia gheto walipopanga madada wawili wanafunzi wa secondary usiku wa saa 5 tukiwa na rafiki yangu halafu mademu nao wawili mtu na rafiki yake Mara ghafla wajanja wakatufungia makufuli kwa nje.!
Halafu wakatoa raarifa kwa wazazi wa binti , kwa waalimu na pia wakaripoti polisi ikaamliwa wasitufungulie mpaka asubuhi polisi wafike na waalimu pia wazazi wawepo!
Huo usiku sintousahau katika maisha yangu maana tulitafuta kila mbinu ya kutoka humo ndani usiku huo ilishindikana madirisha yana nondo wenye kulia walilia nilisali sala ambazo sikuwahi kusali ili labda utokee muujiza kama wa Paulo na Sila walipokuwa gerezani lakini ilishindikana!
...Kwa leo acha tu niishie hapa ntaileta hii habari siku moja.
Ila wewe jamaa uliyetufungia siku hiyo Mungu anakuona.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom