Ushasema "wengine wadogo zangu" unataka wakuite Dada?Hivi hii imekaaje warembo wazuri wazuri,wengine wadogo zangu kuwa na mazoea ya kuniita "Kaka?". .yaani mpaka nakossa hamu sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
hamna mkuu.ndio heshima ni muhimu lakini kumbuka unaitwa kaka alafu mazoea hayapungui..dah!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mshipa ake
@Shunie ukuje huku
nadhan hapa ndo uhakika zaidi,yaan naona kabisa huyu ni mdogo wangu lakini mazoea hayapungui..na huku bado naitwa braza kweli haki hii jamani??
Sent using Jamii Forums mobile app
Asome mada....
HahahhaSkia.. Kama huna muda wa kuwatafuna KAA NAO MBALI watakuzoea wakuone kama House girl, kama unajiweza Fumua.
Sent using Jamii Forums mobile app
ailee kabisaaa kabla hajaanza kuitwa dada
Abeeh@Shunie ukuje huku
Jamani