WADADA HII INAWAHUSU

WADADA HII INAWAHUSU

Gego Mnete

Member
Joined
Dec 9, 2017
Posts
10
Reaction score
14
Wadada ambao kila siku ukitumiwa sms na namba ngeni unaanza kuuliza _"Umetoa wapi namba yangu???_" kaa hivyo hivyo na maujinga yako wenzako wanaolewa we utabaki kuwa mpelelezi
 
Wa dar ww sio bure..
Mimi sipendi kuomba namba ya flani kwa mtu mwingine huwa namfata direct akikataa naondoka bila kuangalia nyuma..
Na hilo swali ni rahisi kujibu..
Mjibu"nimetoa kwenye kipande cha gazeti nilichofungiwa vitumbua"
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom