MUDA NDIO TATIZO

MUDA NDIO TATIZO

Tid mtt

Member
Joined
Mar 3, 2019
Posts
11
Reaction score
6
Haswa kwa wanaume nataka kujua unatakiwa kujiolea au kuoa ukiwa na MALI au umri wako ukitimia , nikisema mali i mean uwe na gari nyumba pesa yani siku ukiwa nazo ndio uoe kuna shida hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umri ikifika tu oa , maana ukisema huwezi oa mpaka upate gari , nyumba n.k unaweza kufa bila kuoa maana mipango yako ya kupata hivyo vitu yaweza feli au kuchelewa,
Kwanza mke amebeba baraka za ndoa, kwahiyo unaweza ukaoa ukiwa hauna kitu na ukashangaa baada ya ndoa mambo yako yanaenda vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ruge alikua na mali na umri tayari na hakuoa. Kuoa siyo lazima wazee si unaona mzee wa Liquid bado anatafuta mtu sahihi na ni bado kijana mdogo wa miaka 42
 
Back
Top Bottom