Kwani unateseka?

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
20,744
25,464
Why
Unateseka kwa nini?
Kisa nini? Ni huo uzuri wake hukutegemea kukubaliwa na yeye ni huo msura wake au hizo bambaa taa?
Kabla hujaendelea kuteseka na kuapta tabu je unahisi anakufaaaaaa!
Je atazibeba ndoto zako unavyotaka?
Je hata ukajituma na kuhakikisha mshahara wako au pesa yako yote ya biashara una mpa akakubali kufanga na wewe ndoa unahisi utakaa naye kwa muda gani?
.. My young black boy
Hawa wanawake wenye tambia zifuatazo achana nao kabisa..


1.mwanamke ambaye wewe ndio kila siku wa kumtafuta tu yeye hakutafuti lakini ukiangalio yupo online au anapost status za kujisifia tu alivyo mrembo na uzuri wake huyu mwanamke brother hakufai..

2.mwanamke amabye upo naye kwenye mahusiano yake lakini anaishi kama hana mtu yaani hawezi kupanga muda na wewe ukitaka kuonana naye au kumwona anakwambia ngoja nitakupa jibu ngoja nitakwambia afu hata hakwambiii ndio imetoka huyo mwanamke hakufai

3.mwanamke ambaye haishiwi sababu kila siku mara ooh naumwa mara ooh sipo na kila sababu akikuambia ni mpya na anakwambia kwa sababu umemutafuta wewe ila yeye hajakutafuta kukuambia inamaana yupo aliyeambiwa wa kwanza


4.mwanamke ambaye anakutafuta tu yeye akiwa na shida tena ya pesa kubwa kubwa ooh mama anaumwa naomba pesa ooh nimeibiwa simu naomba pesa ooh kuna sherehe naomba pesa ukishatuma anasema asante ndio hakutafuti tena


5.mwanamke ambaye hajawahi kukusahauri lolote juu unachokifanya yaani yeye anachojua ni kupiga picha mpya na kujisifia utasikia mama la mama, siyo kwa mguu huo, mzuri mimi utadhani anatafuta soko
5.mwanamke ambaye hajui jumapili wala ijumaa kwakwe siku zote ni sawa hana Mungu kaka usipate tabu
.. Sasa kaka hizo ni sifa tu baadhi ya mwanamke ambaye hupaswi kufikilia kua naye ungeweza hata kutumia kigezo hivi huyu alivyo mrembo kwani hakuna mwanaume kama mimi ambao wanataka kuomwoa lakini y mpaka sasa hajaolewa na urembo huu afu wewe leo eti ndiyo anakuumiza kichwa.. Kwa nini boy y
Mwanamke akija kwako hapiki mnanunua chakula wala hatandiki kitanda unataka umpeleke wapi au hizo pesa huna pa kuzipeleka unataka uzitupe kwaajili ya harusi ambayo utakaa naye miezi mi3 na kuachana.
Amka
.. Hii ndio siri kama ulikua hujui sasa amka
 
Back
Top Bottom