Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Onyo: taarifa hii inahusu masuala ya ngono tangu mwanzo. Ni mambo machache yanayofahamika kuhusu namna ponografia inavyowaathiri wanawake. "Nilikuwa na miaka 12 wakati nilipoanza kutazama picha...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mnaopenda wapenzi wenye shingo ndefu,karibuni
0 Reactions
23 Replies
6K Views
Mnamo Mwaka jana . Mwishoni wa Mwaka niliwahi kuhudhuria harusi Ya rafiki Yangu Mmoja hivi wa kike Ambaye alikuwa ana tarajia kuolewa na Mchumba wake wa Muda mrefu "...., So baada ya mimi...
6 Reactions
316 Replies
18K Views
1. ANAKWEPA MAZUNGUMZO YA NDOA Haonyeshi kufurahi unapoanzisha mazungumzo kuhusu suala la kufunga ndoa na wala hapendi kuzungumzia hilo. Wakati mwingine hata kukutambulisha kwa ndugu zake au...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
3 Reactions
33 Replies
3K Views
Kataa au Usikate ukweli utabaki pale palepale. Mme ni kichwa cha Kwenye Familia hata kama hana pesa na Mke atapaki kuwa Msaidizi kwa mumewe hata kama mke anapesa kuliko mume. Wewe Mwanamke...
4 Reactions
16 Replies
3K Views
inauma sana pale unapompenda mtu alafu yeye anakuchukulia poa.
5 Reactions
64 Replies
7K Views
Kikawaida ni vyema watu wakafahamu kuwa mwanaume ni kichwa na itabaki kuwa hivyo miaka yote. Mwanaume si lazima awe muwazi kwa mpenzi wake katika vitu vyote anavyofanya au malipo anayopokea...
6 Reactions
30 Replies
4K Views
Jamani wale wachepukaji tupeane stories jinsi gani ulivowahi kufumaniwa na mkeo/mumeo au mpenzi wako. Karibunii. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Tofauti na miaka ya zamani wakati tunakua,wazazi wetu walikuwa wakipika chakula watoto mnafurahia chakula kutokana na mapishi mazuri. Kwa mfano, wa mama na wa dada wa zamani(waliozaliwa miaka ya...
4 Reactions
72 Replies
8K Views
Juzi jumapili niliamka naumwa mafua makali na kichwa kikawa kinauma na kikohozi kimenishika.nikaenda hospital kupima malaria na UTI nikakuta Sina siumwi chochote Cha ajabu daktari akaniandikia...
3 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari ya wakati huu wana Jamie forum Mm ni kijana mwenye mke na mtoto mmoja. Ndo yangu imefikisha miaka miwili siku so nyingi zilizopita. Nimejikuta tu simpendi mke wangu kutokana na vijitabia...
9 Reactions
139 Replies
13K Views
Habari watu wa Mungu. Nimekua nikifuatilia sana siasa za nchi hii,tatizo la wanasiasa wenginwa sasa,hasa vijana,ni kutafuta "nitoke vipi". Hawana saiasa za masuala,wanafanya siasa za matukio...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Leo katika fikra zangu likanijia wazo hivi Mara yangu ya kwanza kuonja papuchi ilikuwaga wapi na nilikuwa na nani? Kumbukumbu zikanijia ilikuwa Dodoma(keko) na Dada poa mmoja aliyekuwa anajua...
6 Reactions
16 Replies
7K Views
HILDA uliniacha katika kipind ambacho sikutegemea kabisa kisa yule boya , pindi unaniacha ulinifanya nimjue mwanadada celine dion maana niliskiliza kalibia nyimbo zake zote, ila haya maisha tu...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
When you have just met, love taste like sweet orange. You cannot get enough of it. After some time You cannot stand each other’s sight any more but you sre committed to each other. Your...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
DADA ZANGU NI VIZURI KAMA MKIYAFAHAMU HAYA..! [emoji117] Mwili wako sio Maonesho, kila mwanaume auone. [emoji117] Mwili wako sio Mdoli kila mwanaume Auchezee. [emoji117] Mwili wako sio dampo...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Nimefuatilia kwa ukaribu wanawake waliolewa wakiwa na kipato kidogo au hawana kabisa lakini wakabahatika kusaidiwa na waume zao either kwa kusomeshwa au kufufuguliwa biashara Mikubwa , baadae...
18 Reactions
181 Replies
21K Views
dah nipo nacheki movie ake ya SECOND ACT ' dah aseeeeeee anaonekana kabintiiiie kananifanya nidindisheeee hahahahahahah pesaaaaaa
1 Reactions
1 Replies
721 Views
Habari zenu, nimeona niwaletee hili nina imani mtajifunza hasa kwa wale wasiofahamu,Ukikaa Muda Mrefu bila Kufanya tendo la Ndoa madhara yake ni kama haya: Hasira za mara kwa mara katika mambo...
0 Reactions
7 Replies
20K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…