Kikawaida ni vyema watu wakafahamu kuwa mwanaume ni kichwa na itabaki kuwa hivyo miaka yote.
Mwanaume si lazima awe muwazi kwa mpenzi wake katika vitu vyote anavyofanya au malipo anayopokea.
Madhara ya kuwa muwazi kwa mpenzi wako ni kuwa utakuwa dhaifu na utapelekeshwa siku moja. " Ishi na mwanamke kwa akili" imeandikwa
Karibuni tujadili.
Sent using Jamii Forums mobile app