Neno kwa mpenzi wako aliye kuacha .....

Neno kwa mpenzi wako aliye kuacha .....

francis kibiki

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2018
Posts
476
Reaction score
521
HILDA uliniacha katika kipind ambacho sikutegemea kabisa kisa yule boya , pindi unaniacha ulinifanya nimjue mwanadada celine dion maana niliskiliza kalibia nyimbo zake zote, ila haya maisha tu mama ulichonifanyia sir god atanilipia one day, matter core ww

Usiache kutupia na ww neno lao kwa ulieachwa usitukane maana mim sijatukana apo.......
 
Stop bad mouthing ur ex

"In Good times ,Friends know you BUT in Sorrow, you know them [emoji23]"
 
Back
Top Bottom