Sometimes mwili unapona wenyewe bila kumeza dawa

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,531
44,641
Juzi jumapili niliamka naumwa mafua makali na kichwa kikawa kinauma na kikohozi kimenishika.nikaenda hospital kupima malaria na UTI nikakuta Sina siumwi chochote Cha ajabu daktari akaniandikia dawa nne
Diclofenac,Ampiclox,Predilone Na nyingine jina lake nimesahau.mimi kwa kuwa madawa nayaogopa nikaamua kutokunywa hata moja nione mwisho wake na kweli Jana hio na Leo mimeamka mzima kabisa siumwi chochote na Hali imerudi Kama kawaida.so nawashauri madaktari muwe mnaangalia njia nyingine za tiba Kama vile kumshauri mtu kutumia vitu natural kama tangawizi,garlic,kunywa maji mengi Sana,matunda n.k ambavyo havina madhara kuliko kumpa mtu madawa hata Kama haumwi ugonjwa serious Sana wakati mnajua kabisa mwili una immunity yake kubwa TU ya kujitibu wenyewe.kama ningesema nimeze hayo madawa nisingepata chochote zaidi ya kujaza masumu tu mwilini.
 
We nae mafua tu unaenda hospital........ Hayo hata niumwe wiki mbili siendi hospital wala sinywi dawa ni mwendo wa maji tu mpaka yanatoweka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mafua yanasumbua pale yanapoanza. Shingoni panakereketa sana .. Sasa mda ule ndo wa kutumia natura medicine... Yakishakolea we kunywa Maji kila Mara mpaka yatatoka yenyewe ..utakuta kama ilibidi uumwe wiki zima utakuta siku4 ushapona Hata tatu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom